Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu...
Haya ni maneno ya wanaserengeti wengi kutomtaka Dk Kebwe kama atatia nia ubunge wa Serengeti baada ya kutumbuliwa. Atafute kazi nyingine ya kufanya au akalee wajukuu.
Waziri mkuu yupo ziarani mkoani morogoro. Katika ziara yake, Mhe waziri mkuu ameibua madudu mengi yaliyokuwa yakifanyika katika wilaya mbalimbali za mkoa wa morogoro. Tumeona baadhi ya viongozi wa serikali wakichukuliwa hatua na wengine kutenguliwa katika nafasi zao. Mambo yote haya yamefanyika...
Kumekuwepo na mnyukano wa chini kwa chini katika viunga vya jimbo la Serengeti kati ya wafuasi wa Stephen Kebwe na Charles Moremi wote wakiwa makada wa Chama cha Mapinduzi. Naomba tufanye uchambuzi kidogo juu wa watia nia hao ambao kwa kiasi kikubwa wamekua gumzo katika vijiwe mbalimbali hapa...
Nimemsikia Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche katika mitandao ya kijamii akimtuhumu Kada wa CCM na mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM aitwaye Charles Moremi kuwa aliwachezea rafu wana Chadema katika uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Turwa huko Tarime na kuiba kura zilizowezesha CCM...
Mwakyembe binafsi nakukubali sana kwa umahiri wako wa sheria na hasa nilikukubali zaidi kwa namna ulivyoiandaa ripoti ya Richmond iliyomng'oa Edward Lowassa kwenye uwaziri mkuu.
Tuwe wawazi jamani, ni nani ndani ya Chadema atakayekubali sakata hilo lirudi bungeni tena? Wako wanachama ndani ya...
Wadau wa jukwaa hili,kumekuwepo na pitapita kwa kijana mmoja anayeitwa Charles Moremi katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya Serengeti na kutoa misaada mbalimbali kama kuchangia madawati huku akisema anaunga jitihada za Mhe. Rais za kuhakikisha wanafunzi hawakai chini.
Na inasemekana ni katika...
Wanaserengeti jana tumeshangaa kuona Steven Kebwe kuteuliwa kuwa naibu waziri wa afya. Tulitegemea mkuu atapunguza idadi ya watakaokuwa mizigo kumbe ndo idadi inaongezeka. Huyu mbunge jimboni kwake kashindwa kuwatumikia wananchi,sijui itakuaje kwa majukumu ya taifa aliyopewa
Mama Kilango kafyatuka,kasema wananchi wasiwape kura 2015 wabunge wasioleta maendeleo. Kaenda mbali kasema hata kama ni yeye wana same mashariki waamue. Wafuatao nahisi waweza kuondolewa
1. Dr Kebwe CCM-Serengeti
2. Mwigulu Nchemba
Weka wengine
Ile tume iliyoundwa kuchunguza kwa nini matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yalikua mabaya na kuiaibisha serikali sasa imetoa majibu na kupanga madaraja ya mapya ya ufaulu yatakayoanza kwa watakaofanya mtihani wa kidato cha nne November 2013. Cha kushangaza Profesa huyu anasema Division zero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.