Waziri Mkuu Majaliwa ampa angalizo RC Kebwe. Amwambia mkoa wake umekithiri kwa matumizi mabaya ya fedha

Huyu nadhani magu atamvumilia kwa sababu ni wa kanda pendwa, na kabla hajateuliwa ukuu wa mkoa hali yake ilikuwa ngumu sana
Juzi kamtumbua KP ambaye mliimba kuwa kanda yake na kampa wa kaskazini ambaye mmeaminisha watu kuwa wanabaguliwa. Punguzeni SIASA UCHWARA.
 
Na wengi huwa hawafuatilii habari,akiongea huyo kigogo ndio wanaona jambo jipya. Walivyokalipiwa DED na DC then Rais akawatumbua, jamaa kafanya bashiri kwa RC kutumbuliwa na hii baada ya PM kutolidhishwa naye.

Kama huyo Kigogo2014 ni MTU ambaye amezoea uongo, KWA nini NA nyinyi msimpuuze??

Kuendelea kumjadili MTU muongo, sisi Watu wengine ambao ni critical thinkers tunapata mashaka makubwa.

Anyway, Mti unaopigwa mawe ni ule wenye matunda!!
 
Kwa hali ilivyo mzee huyu atatumbuliwa jumapili hii mara baada ya mzee kutoka kwenye misa Takatifu.
 
Namaanisha mapambano dhidi ya rushwa ni magumu sana kama kikundi cha watu kinaweza kuhonga rushwa inayozidi pension ya mtumishi wa umma aliyefanya kazi kwa 30 years ni ngumu sana kukataa iyo hela.
Ni kweli kabisa, nilisikia jamaa alijenga nyumba kama tano haraka haraka, NA pesa nyingine alitumia kama mtaji wa kwenda kugombea Ubunge huko kwao Nachingwea mkoani Lindi.
 
Dr Steven Kebwe ni Daktari wa binadamu. Aliingia kwenye siasa mwaka 2010 aliposhinda kiti cha ubunge jimbo la Serengeti. Akahudumu kama Naibu Waziri wa Afya kwa miaka 2.

Mwaka 2015 akarudia lakini akashidwa na Mbunge aliyepo. Jamaa ni muungwana sana, msomi mzuri kwenye fani yake ila namuonea huruma kuwa kwenye Serikali ya awamu hii ambayo haiheshimu watendaji wanaofuata taratibu.
Kisicho semwa hapa ni kwamba Mkuu wa mkoa hana mafungu ya fedha. Pesa zote na maelekezo ya matumizi yake zinapelekwa kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji na Manispaa na sio lazima wampe taarifa za miradi inayopatiwa pesa na serikali kuu,

Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa kisiasa kwenye eneo lake na hata kufatilia bajeti za miradi kwenye Halmashauri hua ni kiherehere chao tu na kujiongeza maana hakuna muongozo kiutaratibu wa utawala wa kuwawezesha kufanya hivyo. Miongozo ya kiutendaji imewataja na kuwatambua ma RC kama Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama japo pia wanaongoza vikao vya MCC

Ni siasa za siku hizi ndio zinawapa pressure ya kutaka wafatilie miradi ambayo kiuhalisia wala hawajui imepangiwa kiasi gani mpaka waelezwe na Wakurugenzi lakini Mkurugenzi aki mess na RC is in for it!! Very unfair kwa maoni yangu
 
Mkuu kazi za Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ni zipi?
 
Binafsi sifurahishwi na utendaji wa huyu RC,Morogoro imejaa kila aina ya uozo kwa wilaya karibia zote,lkn sijawahi ona RC akifuatilia na kuwajibisha watendaji wabovu,pesa za miradi znapelekwa utekelezaji ni sifuri.
Pia,ushauri wa Mbunge Milinga nao ufuatwe,kuna mitandao mibaya sana kwa watumishi wa h/mashauri,so kubadilisha wakurugenzi&RC tu haitoshi,ni lazima mitandao hii ikatwe kwa kuwawajibisha na kuwahamisha watumishi hasa wakuu wa idara kwenda wilaya zingine.
Hawa wamezizoea sana ofisi,kiasi kwamba hawana woga wala adabu,na huwaingiza mkenge sana ma DC,RC na wakurugenzi.
 
Huyo naona pombe zilishamzidi, anakunywa safari utafikiri maji ya kunywa, na uso wake unamsuta.
 
Wewe mleta mada tulia. Hii nchi hata bila rais mambo yanaenda tu. Jiwe kwani anafanya nini magogoni? Si yupo yupo tu pale kubaki naa kung'ania madarakani? Kama kila kitu hata chai na fitafunwa vya ikulu inategemea hela na misaada ya wahisani. Kama kweli angekuwa na hela za humuhumu angeiba rambirambi?

Usimuonee huyoo mkuu wa mkoa bana
 
Suala. La muda tuu wameanza na mkuu wa wilaya na mkurugenz... Jana wamekula kichwa ya RPC bado Kebwe
 
Mkuu kazi za Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ni zipi?
Wewe unazijua vyema kazi za wenyeviti wa hizo kamati mkuu. Mimi hoja yangu ni kua Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, RAS na DAS wote ni presidential appointees. Practically hakuna wa kumuwajibisha mwenzake

Mkuu wa mkoa kama alivyo mkuu wa Wilaya jukumu lake la moja kwa moja ni kuangalia usalama hasa wa "kisiasa" kwenye eneo lake la kiutawala. Hayo mengine ya sijui kusimamia na kufuatilia miradi ni by the way tu.
 
Haya ni maneno ya wanaserengeti wengi kutomtaka Dk Kebwe kama atatia nia ubunge wa Serengeti baada ya kutumbuliwa. Atafute kazi nyingine ya kufanya au akalee wajukuu.
 
Dr Steven Kebwe ni Daktari wa binadamu. Aliingia kwenye siasa mwaka 2010 aliposhinda kiti cha ubunge jimbo la Serengeti. Akahudumu kama Naibu Waziri wa Afya kwa miaka 2.

Mwaka 2015 akarudia lakini akashidwa na Mbunge aliyepo. Jamaa ni muungwana sana, msomi mzuri kwenye fani yake ila namuonea huruma kuwa kwenye Serikali ya awamu hii ambayo haiheshimu watendaji wanaofuata taratibu.
Kutosimamia wa chini yako ndiyo kufuata taratibu? Sema huyu mkuu wa mkoa kwa asili yake ukuu wa mkoa (utendaji) hauwez koz ni mpole sana. Na kwa ustaarab sipingan na ww kweli ni mstaarabu sana.
 
Dr Steven Kebwe ni Daktari wa binadamu. Aliingia kwenye siasa mwaka 2010 aliposhinda kiti cha ubunge jimbo la Serengeti. Akahudumu kama Naibu Waziri wa Afya kwa miaka 2.

Mwaka 2015 akarudia lakini akashidwa na Mbunge aliyepo. Jamaa ni muungwana sana, msomi mzuri kwenye fani yake ila namuonea huruma kuwa kwenye Serikali ya awamu hii ambayo haiheshimu watendaji wanaofuata taratibu.
Kwenye fani yake yuko vizuri, vipi kwenye nafasi hii ya kisiasa viatu vinamtosha?
 
Kama ni mie naandika barua fasta ya kuachia ngazi,Nzuri zaidi utumbuliwe siku za kazi tena iwe mchana kidogo nafuu,We umelala zako usiku asubuhi unaamka kwenye data unaona breking news kufungua unakutana na jina lako umetolewa,Mungu amlinde kwa hilo kebwe
Kweli kabisa.Ila utamaduni wa kuachia ngazi ni kama mwiko kabisa Tz.Ndio sababu kiongozi wa juu asipokuwa tayari na jasiri wa kutumbua,unaishia kujaza viongozi mizigo ndani ya nchi kwenye kila kona na level za uongozi.Hata wale viongozi wazuri nao si ajabu huanza kuharibika kwa kuiga madudu ya wachovu kiuongozi au utendaji wao hufifia tu.Hili ndilo limetugharimu kwa miaka mingi sana Tz.
 
Back
Top Bottom