Recent content by Gronkjaer

  1. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    Duuu same old stories..........
  2. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    Yani tangu 2018 mpka.2019 kweli Watanzania tumefanywa wajinga sana na viongozi wetu .......
  3. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    Bussiness as usual
  4. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] #Tunatokomeza zero
  5. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    Ila wakawapa Mwendokasi wajenge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] halafu tunakuwa na kampeni ya kutokomeza zero......[emoji3] [emoji3] [emoji3] Mungu atusaidie sana
  6. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    Sipati Picha Manji angejenga uwanja wa kisasa pale
  7. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA, mmeshindwa kusimamia kurudi kwa local channels kwenye ving'amuzi?

    Mm nimeamua kuzima kufungia king'amuzi changu cha Zuku mpaka suluhu ije ila siwezi kuhamia Startimes .......nasubiria mfumo.mpya wa azam
  8. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Azam Tv yapewa leseni ya kuonesha chaneli za ndani bure

    Ndo maana wabunge walisema tusubirie kwanza wakalazimisha kuzima analogia ili.mchina auze startimes harakaharaka[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
  9. Gronkjaer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nmegundua mtoto si Wangu. Mama anataka kuniroga

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  10. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kuanza kutoa msaada wa kisheria kwa wanawake waliotelekezwa na waume zao kuanzia leo tar 9 April

    Nakuunga mkono mia kwa mia Wapo wanawake ambao ni vigeugeu leo anakwambia ile mimba ametoa baada ya muda kupita anaanza kudai matunzo ya mtoto utetezi wao ni kuwa mwanamke akiwa mjamzito kuna mambo anafanya bila kutegemea na ndo maana diamond alikiri kuwa pengine kosa halikuwa la baba yake......
  11. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Yeye anafaidikaje
  12. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jaribu kucheki hii link mp3wifi.com halafu uandike wimbo unaotaka
  13. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Kuteketeza vifaranga kwa moto ni dhambi

    Wasomali kila uchao wanakamatwa wakifika polisi wanapewa chain Na maandazi au mikate...... Je kwa nn wasichomwe moto au ndo umoja wa ulaya utatuma vikosi vya kijeshi?????
  14. Gronkjaer

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Watanzania asilimia 67 kumeza ARVs hawa MOAT na TEF wako wapi mbona Kimya?

    Mm niliogopa sana maana 67% ni saw a Na watu saba kati ya kumi wana ukimwi....
Back
Top Bottom