Recent content by Griseofulvin

  1. Griseofulvin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Maombi yenu wazee amebaki Dortmund na Ac Milan watoe GG dakika ya 70 bila bila daahh[emoji26][emoji26]
  2. Griseofulvin

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mamaaeeee Monaco [emoji35][emoji35]
  3. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Sisco na Kiwembe wamefurahi Sanaa mpaka wamevua mashati Mangwelele ndo amini kilichotea hapa yupo hapa anasikitika tuu
  4. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Ronaldo kafa hukuu Noel bigwa
  5. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Ku record mechi nzima mpaka iishe ni kazi kutoka na watu kuwa wengi pia draft linachukua mda mrefu mfano Noel na Nduli wametumia masaa 3 Toka saa 10 mpaka saa 1 ndo mechi imeisha
  6. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Sisco kashindwa kuzima ufalme Ronaldo kazi imebaki Kwa Noel na Noel lazima apasuke hiyo kesho
  7. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Hii mechi nmeishuhudia Ronaldo mtu mbaya Sanaa kafanya bonge la Moja la kambaki... Uzembe wa Sisco kaongoza mechi Toka mechi ya 3 akaanza maneno, kaja kuchomolewa mechi ya 12 kaja kapigwa chuma Cha pili tege ya kwanza tuu
  8. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Katolewa na Nduli na kupigwa na maneno juu
  9. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Dogo shuku tayari kaaga mashindano
  10. Griseofulvin

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Utabiri Nusu Final Sisco Vs Ronaldo Nduli Vs Noel Final Sisco Vs Noel kambi moja hawa Bigwa Sisco
  11. Griseofulvin

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    Hapo sawa yaani nmefunga safari yangu kutoka Kyamatunda kupita kamsamba hadi Chunya-Mbeya alafu asiwepo
  12. Griseofulvin

    DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

    CR7 Ronaldo mbona hayupo kwenye hii ligi?
  13. Griseofulvin

    Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Daahhh mamaaeee [emoji3][emoji3][emoji3]
  14. Griseofulvin

    Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

    Daktari wa mwili wa Binadam ...... We huoni hata hilo jina hapo
Back
Top Bottom