Recent content by Greysonizzle

  1. Greysonizzle

    Balozi Afrika Kusini alalamikiwa: amekuwa akiwadhalilisha kwa kuwapiga vibao...

    Duuuhh kumbe hata hivi vyeo ni kina flani au watoto wa kina flani...?me binafsi naomba dunia iishe ili tukutane mbinguni kwa baba coz kule nasikia hakuna cha mtoto wa flani kama ilivyo hapa Bongo....
  2. Greysonizzle

    Hydraform machine and Hydraform blocks Tanzania Branch

    Huu ni mfano wa nyumba iliyojengwa kwa tofali madhubuti za hydraform but ukipata walaghai,matapeli wakakuuzia tofali zisizo za hydraform na kukugdanganya ni hydraform ujenzi wake utakuchukiza hakuna mfano..
  3. Greysonizzle

    Hydraform machine and Hydraform blocks Tanzania Branch

    (Just a reminder of benefits of using Hydraform blocks)Hii ni kwa wale mlio ni PM kutaka kujua faida za Hydraform haya ndio majibu yake unaweza punguza hadi 25 to 30% ya ujenzi kwa kutumia tofali hizi faida nyingine ni.. · Great thermo properties ( 3 times better than normal cement/sand...
  4. Greysonizzle

    Hydraform machine and Hydraform blocks Tanzania Branch

    ok mr amoeba ktk web yao iko ktk mchakato wakufanyiwa marekebisho ili kuongeza baadhi ya data za uuzaji wa mashine nadhani kufikia 20th ya mwezi huu watakuwa wamemaliza kazi hiyo.kama vp ni PM email yako nitakuchekia hizo data..
  5. Greysonizzle

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    kaka plz 77 naomba nitumie contact zako kuna issue nitaji tuzungumze zaid kabla sijaingia ktk biz hii use mine mga_son@yahoo.com natanguliza shukrani mkuu...
  6. Greysonizzle

    Hydraform machine and Hydraform blocks Tanzania Branch

    Habari za kazi Wakuu..napenda kuwasilisha taarifa nzuri na zenye mwelekeo wa kukuza tekinologia mpya katika ujenzi kwa kutumia tofali na mashine za hydraform.nomba kuwajuza kwamba now days limefunguliwa tawi jipya la kuuza mashine za Hydraform kwa hapa Tanzania hivyo hakutakuwa tena na haja...
  7. Greysonizzle

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    1. The construction cost of Hydraform house of 3 bedrooms standard house with normal/average quality finishing (about 90 Square meters) can cost about 38 - 40million shillings. Depending on the type of finishing material you choose during the finishing process, one can experience a...
  8. Greysonizzle

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Kaka ghalama ni kulingana hasa na eneo unalojenga hiyo nyumba, material used,labour cost etc but kwa mimi nakushauri utumie ujenzi wa matofari ya hydraform kwani ni nafuu na ujenzi wake utakupunguzia hadi 30% ya ghalama ukilinganisha na ujenzi wa kawaida. now dayz Hydraform wamefungua tawi lao...
  9. Greysonizzle

    Hellow..

    Wadau nimejiunga rasmi na JF leo hivyo naomba ushirikiano wenu wa hali na mali.. Tanx so much
  10. Greysonizzle

    Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

    Fikra pevu zinaitajika katika kulijadili suala hili .hivyo hatuna budi kutotanguliza mihemko ya kishabiki au kidini..ni maoni
Back
Top Bottom