Wote ni wezi wa kubwa tuu pia wote waliochangia hua wanakwepa kodi baadae na wakiamua kubeba na madini nk hakuna wakuwazuia maan wameshilik harambee na pesa za michango wametoa
Mbona hili swala ni lakawaida na lipoo siku zoote inshuu ni wew utalipokeaje, kua muungwana na kua tayar kupokea kwa chochte kwa maan hata huyoo mtot na e ni wako japo sio wa kumzaa jitahidi sana kuongea na mwenza kama angalau hakuwahi kukueelza juu ya hili naimani litapita salama kwa kuelwana tuu.
huenda ukawa n maumbile madogoo n wakti yye kina chake cha kumridhish ni kirefu so jarbu kutumia muda mwingi kumuandaa vizur msogeze hisia zake tumia fursaa zipo nyingi san jins y kumrisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.