Recent content by grestin

  1. G

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    hizi ndizo athari za kuanzisha mfumo mpya wa kodi bila kushirikisha wadau husika,, na pia bila kutoa elimu ya kutosha kuhusu namna ya kuuendesha mfumo huu.... mm naamini,, lengo lao mwanzo lilikuwa ni kuwatarget final consumers,, lakini baada ya watu kureact, wanajaribu kutafuta namna ya...
  2. G

    Tujadili kuhusu "VAT"

    Mkuu... huyu jamaa nadhani ana lengo la kuwafanya watu wawe wajinga zaidi... sijui ana lengo gani. .. au labda naye hajui maana ya VAT...
  3. G

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    aisee,,, naomba kwa aliye Dar au karibu na Dar anijulishe kuhusu hii kitu, nimevutiwa nayo ila nahitaji kwanza practical experience.
  4. G

    Job Interview.

    Ahahahhaha....
  5. G

    Boresha Mahusiano Yako Kwa Kupenda Ndani-Nje, siyo Nje-Ndani

    Jamaa umetumia akili sana..nmeipenda hii....and patience ndo the most important thing katka kum-identify your life partiner.
  6. G

    Mbatia kamwe hachomoi Vunjo, labda Mmanga wa CCM asiwepo

    Mkuu umeongea suala la msingi sana....u just have to tell us ulichokifanya first tuone kama kweli unafaa kumpiku huyo/hao unaowaita wanasiasa uchwara. kukaa na kuanza kuelezea weaknesses za previous mps co criteria ya sisi kuona kwamba unafaa. we need people who can do more than talk.!!!
  7. G

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    nimeifuatilia thread hii kwa umakini na nimekuwa inspired kwa kiasi Fulani. ninaweza kukucontact vip mkuu chacha ili tufahamishane Zaidi kuhusu teknolojia hii?
Back
Top Bottom