Recent content by GreenMkulima Initiative

  1. GreenMkulima Initiative

    Msaada wa Bei ya Mahindi kwa sasa

    Ila mkuu ukitaka kufanya hii biashara vizuri sajili kampuni. Si gharama kubwa na siku hizi usumbufu umepungua usajili wa makampuni
  2. GreenMkulima Initiative

    Naitaji business partner

    Kapotea kabisa, labda alikuwa anapima kama anakubalika mkuu.
  3. GreenMkulima Initiative

    Msaada wa Bei ya Mahindi kwa sasa

    Kama unasehemu nzuri na salama ya kuhifadhi sikushauri kuuza saizi mkuu unless unataka kufanya jambo lingine. Ila kwanini usisage ukapaki unga au ukakoboa then ukauza kama mzabuni?
  4. GreenMkulima Initiative

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Shukrani sana ndugu. Nitafurahi nikipata mawasiliano yao.
  5. GreenMkulima Initiative

    Nisaidieni kupata kazi jamani, nimehangaika sana

    Pole mkuu, karibu Arumeru tulime. Ukiwa serious na kazi tutafutane mkuu, japo tusikose fedha ya kula.
  6. GreenMkulima Initiative

    Naitaji business partner

    Mkuu mbona haujaisema biashara yenyewe?.
  7. GreenMkulima Initiative

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Sawa mkuu kwa maana hiyo utaenda wachukua vingunguti au utaagiza Dodoma moja kwa moja mkuu?
  8. GreenMkulima Initiative

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Ndio mkuu, japo nasikia mnada umehamishiwa KIA ndugu.
  9. GreenMkulima Initiative

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Inategemea upo wapi mfano huku Arumeru mnadani ijumaa unaweza pata kuanzia 55 hadi 80 itategemea na mbuzi ukubwa na hali ya mnada ilivyo. Wazo lako zuri sana ila inabidi ucheze sana na muda.
  10. GreenMkulima Initiative

    Msaada wa hili tatizo katika zao la Green Beans, mizizi kuoza

    Sijapiga dawa mkuu, ila kihistoria hili eneo nilishapsnda mahindi mwaka jana
  11. GreenMkulima Initiative

    Msaada wa hili tatizo katika zao la Green Beans, mizizi kuoza

    Shukrani mkuu kwa wazo je kama ni mdudu dawa ipi ni nzuri nipulize
  12. GreenMkulima Initiative

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Shukrani ndugu, naomba niulize je, wanauzwa wapi?, au hao walioletwa kama project naweza pata mbegu?
  13. GreenMkulima Initiative

    Nijuzeni zao la biashara linalotoka kwa sasa

    Mboga mboga ila hapa kuna jambo la kujua hasa kilimo cha mboga mboga kinaitaji mtu uwe na mahesabu ya muda na soko. Mfano kila eneo Tz lina misimu ya hali ya hewa, kuna kiangazi, masika na kipindi cha kawaida. Sasa hapa unatakiwa kuesabu miezi ya kiangazi ni lini then unalima ukijua kiangazi...
  14. GreenMkulima Initiative

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Kwa maana gani mkuu, ina maana hapa kwa Uncle Magu siwapati!!?
  15. GreenMkulima Initiative

    Kwa mahitaji ya soya kuanzia kg. 50 tuwasiliane

    Habari wakuu. Tunayo Soya ya njano tunauza jumla kuanzia Kg 50 Ipo katika ubora mzuri. Bei na mchanganuo wake Bei yetu ni Tsh. 1900 kwa kila kg. 1. Kuhusu usafirishaji, bei tajwa ni nje ya gharama za usafirishaji. Wasiliana nasi kwa mahitaji ya Soya bora. Tupo Arumeru wilayani Meru, Arusha.
Back
Top Bottom