Mwishoni sikubaliani na wewe
Ishu ni kuwa mwanaume kuwa na mwanamke lazima awe na uwezo kiuchumi
Wanaume wangapi wana nguvu ya kiuchumi ya kuwa na mwanamke na familia.
Vijana wengi mjini wanakimbiza upepo kama boda, deiwaka, vibarua na mawinga kariakoo.
Wanawake wengi wa mjini wamesoma au...
Pole kwa waathirika.
Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka.
Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio.
Hapa...
Mfano mzuri ni Kongo
Walipopata uhuru Patrice Lumumba ndiye alikua waziri mkuu na maono ya kulikomboa taifa lake kwenye umasikini.
Ila kutokana na mrengo wake haukulandana na wale 'maboss' basi alitumika Mobutu ambaye alikua mwandishi wa habari mwenye koneksheni kumpindua Lumumba na Kongo...
Unashangaa mtu anapombinya mwenzake kwa kumpa sifa za kijinsia. Tangu lini jinsi ikaamua utashi wa mtu?
Tabia hii inadhihirisha dharau na ujinga ndani yake pia!
Thamani ya mtu ni utu.
Chanzo ni ukabila na uchu wa madaraka.
Hao M23 ni watusi wa Kongo. Kivu ina utajiri wa madini yanayotengeneza hizi malighafi za vifaa vya elektroniki pamoja na aina zingine za madini.
Wakongoman kwa maana ya wabantu hawataki kuwatambua watusi hawa kama wakongo toka enzi za Mobutu. Hawahesabiwi...
Jina lako haliendani na ubwabwaji huu.
Zingatia sana wahenga waliposema haya:
1. Habari za nyumbani simfunulie jirani.
2. Nguo chafu husafishwa uani.
Kwani ukumbuke kuwa " Kuchamba kwingi, kuondoka na mavi. "
Umeanza vizuri ila ulipofika hapo kwenye mtoto mdogo kuona mambo ya giza umeharibu.
Mambo ya Kongo yana historia ndefu.
Shida ilianza pale wareno walipofika ngambo ya maji ya mto Kongo upande wa bahari ya Atlantic na wakongoman wenyewe kuanza kuwindana kuuza watumwa kwa wareno hao na wengineo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.