Recent content by Graxsam

  1. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Ndagu/Majini

    Vipi mkuu ulifanikiwa? Nahitaji connection pia
  2. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Ni wa wapi huyo?
  3. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Kama uko serious weka namba
  4. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Naweza pata mawasiliano yao mkuu
  5. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Nafurahisha sio
  6. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Naweza kupata mawasiliano nae
  7. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    S Sawa mkuu shukrani
  8. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Naweza pata mawasiliano ya hilo eneo mkuu nijue mm nitafanya nn?
  9. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Alilalamika kipanda uso tu na kichwa kwa siku mbili akawa anaaga na maiti ilikua inatoa machozi akiwa anatolewa mochwari
  10. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
  11. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Una umri gani had upo home
  12. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Na mm nipitisheni kwenye huo ulimwengu wa roho
  13. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

    Kwa ushauri wangu jichange tu mwenyewe uweke hela yako, hizo hela za kukopa sio poa mkuu.
  14. Graxsam

    JamiiForums Tanzania Walioko Tunduma tuchekiane

    Kama unakuja kupiga mishe tunduma tushirikishane mkuu
Back
Top Bottom