Namshukuru Mungu tumejaliwa kupata mtoto.Ninachotaka mnisaidie ni kwamba mke wangu anakaribia kurudi kazin baada ya miezi 3 ya maternity.
Pia mwezi wa nne wote atakuwa akitoka saa 6, na mwezi 5 throughout atakuwa akirudi saa 12 jioni na anaondoka sa12 asubui.
Sasa wanaJF mnisaidie ili mke...
Dr.Habari
1.Nina dada yangu mguu wa kulia unajaa lakini haumi,amefanya checkup ya sukar,pressure,moyo na figo yupo fine,na pia akifika wakati wa hedhi miguu hujaa sana.Dr alimshauri awe anainua miguu wakati wa kukaa.Sasa anatafuta suluhisho la kudumu,naomba msaada kwa ilo.
2.Baba yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.