Good morning Team,
Samahani naomba kuuliza. Mfano umeresign tar 15 kwa mwezi mmoja, tar 16 ya mwez ijao ndio unakuwa mwisho wa kuingia kazin, mwisho wa mwezi wa tarehe uliyofanya resignation ukalipwa salary. Notes yako ya mwez ikaisha tar hiyo 16 je mwajili anapaswa kukulipa? Kama anapaswa...
Sidhani kama nimefaya kosa hapo ndugu. Watanzania ni wakarimu sana na tumejengewa mazoea ya kuishi kama jamii moja, sio vibaya kukutana na kufanya maandalizi pamoja. Umoja unapunguza gharama na huleta kujiamini.
Hio ilikuwa part ya usaili kukupima, usingesema sina pesa ungesema pesa ninayo lakini siwez kutoa rushwa maana ni adui wa haki na maendeleo. Sasa hv ungekuwa unapiga kaz pale kaka.
Oral interview ni very technical.
Yes, kuna jamaa pia anasema ukiingia kwa password yao ile waliotuma kutumia link waliyotuma pia ukienda kwa Profile unaona wamepanga marks kwa rank. Embu waliofanya test mjaribu kisha muwajulishe wenzenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.