Njia pekee na rahisi kuchangia bima ya afya ni Serikali kuanzisha Mfuko wa bima wa kwa wote, insurance fund, itokane na makato kwa simu, makato yasiyo umiza wananchi.
Bima ya afya kwa wote inawezekana iwapo Watanzania wakaeleweshwa, ni wajibu kila raia kulinda afya yake, je ni mfumo upi utumike ili kila rai achangia kutokana na uwezo wa kipato chake, tatizo ni mfumo upi unafaa kuwawezesha watu waweze kuchangia kutokana na umuhimu wa jambo lenyewe, lazima watu...
Hakika mwalimu alifanya Mambo mengi kwa maendeleo ya nchi yetu,Kwa uchache nilikuwa napitia ujenzi wa wa reli Tazara. Reli iliyojengwa kipindi nchi za Afrika zinapigania Uhuru wake, reli ilijenjwa kupambana na ukoloni;pia kuimarisha uchumi wetu.
Sina hakika nikwakiwango gani alipambana na nchi...
Nakubaliana na mchangiaji,unaweza ukawekwa utaratibu wa mfumo utatambua kila mchangiaji atachingia kutokana na matumizi yake ya simu,anapafanya miamala anajua anachangia bima ya afya, mfumo ukiwepo michango itatambulika kupitia namba ya mtimiaji, pia itampandishi kiwango Cha matibabu kutokana na...
Wanajamii mpango wa bima kwa wote ni muhimu, lakini ni kwa njia zipi wananchi watachangia kiasi kilichopangwa na wizara ya afya.
Kwa maoni yangu watu wengi wana simu za mkononi, kwa nini isitafutwe njia ya kuuchangia mfuko wa bima kupitia mfumo wa simu ya mkononi, watu wengi wanasimu za...
Wazo zuri Sana, ni gharama kununua mandege, vifaru nk , kisa wasiwasi na jirani tuungane kwanza ulinzi ili tusihanhaike kuwa na majeshi, mengi na kuyatunza kwa gharama kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.