Recent content by GRANDPUBA

  1. GRANDPUBA

    Wanaume wengi ni Misukule ya Wanawake. Wana utumwa wa kifikra.

    Wengine wameshawekeza kwa masingo Maza. Watu wameshajipigia weee, mtu anakuja kumpigia magoti na kumvika pete, what the ***. Kuna wanawake wadogo wadogo wazuri kibao hawana watoto wala nini, kwani hawaonekani?
  2. GRANDPUBA

    Muigizaji Cherel (Michelle Botes) wa Isidingo afariki dunia

    Save water drink beer, Niko Horizon Deep hapa.
  3. GRANDPUBA

    Humbleness is pretend

    Unyenyekevu ni unafiki na ni uoga.
  4. GRANDPUBA

    TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    They say the situation has been orchestrated by the tiny minority
  5. GRANDPUBA

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Sababu Makonda ni maarufu kuliko yeye, angemfunika, simple.
  6. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Voda nilishawapigia wanasema haijaingia katika acc ya Mpesa, nawapigia Betpawa zile namba zao 2 zote hazipatikani
  7. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nime_withdraw asubuhi, pesa imetoka kwenye acc ya Betpawa lakini haijaingia Mpesa acc
  8. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi kuna aliyefanikiwa ku_withdraw au ku_deposit Betpawa?
  9. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa una_withdraw lakini haifiki kwenye acc ya simu
  10. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa una_withdraw lakini haifiki kwenye acc ya simu
  11. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante Mkuu, hizi hazipatikani
  12. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante Mkuu, hizi zote hazipatikani, hivi kuna aliye_withdraw pesa akafanikiwa leo?
  13. GRANDPUBA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwenye namba inayopatikana ya customer care ya Betpawa TZ, naomba aiweke humu[emoji122]
  14. GRANDPUBA

    Uteuzi: Watatu wapewa hadhi ya Ubalozi, yupo Katibu Mkuu Kiongozi

    Hili nalo tunakwenda kulitazama
Back
Top Bottom