Wiki iliyopita Rais kakutana na mabalozi na staff wa wizara ya mambo ya nje
Mpaka leo Ikulu hawaja upload speech nzima ya rais kwenye youtube
walirekodi lakini hakuna kitu
Mindi kasiga naye hajaset up youtube page ya mambo ya nje
Hapa napenda kusisitiza kuwa hosting ya hizo video youtube ni...
sasa nimeelewa
kwa maelezo haya inaonekana kuwa huyu mkurugenzi wa sasa alikuwa anafanyia sabotage mkurugenzi aliyeondoka aonekane hajafanya kazi yoyote
Huyu jamaa mpya toka ameingia sijaona cha maana kilichofanyika
na mafao yetu tunashindwa kuyapata
Hivi waislam hawataki pesa au hawataki kupiga pesa au sio mafisadi au hawapo kwenye hii michakato ya pesa au hawahusishwi au hawapendi ufisadi?
List naona wamejaa wagala watupu
Naona hiki chuo kimeleta changamoto kubwa sana lakini pia nadhani kuna la kujifunza hapa
Uchambuzi wa kina pia unahitajika
MAONESHO ya Elimu ya Juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja yamefunguliwa rasmi leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Kassim Majaliwa Kassim huku...
Ukisoma maneno ya mwisho hii taarifa aliyolewa leo utaona wazi kuwa huyu mama ameshindwa kuwa professional kwenye kazi yake na anaongozwa na ushabidi na hisia za kidini.
Kwa Mtu wa Habari/PR nilidhani angezingatia sensitivities lakini wapi
Ngoja nitafute profile yake na track record yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.