Sina nia ya Kuharibia mtu kibarua chake ila ni taarifa tu kwa mamlaka hadi muda huu hakuna maji, taarifa ingetolewa mapema labda tungejiaandaa kwa kukinga maji ya ziada.
Pia nikurekebishe meseji wanazotuma za madeni ni automated hazina namba za kuweza kupiga. Labda kupitia bandiko hili wanaweza...
Jamani enyi Viongozi wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Ina maana hamlioni hili? Au majumbani mwenu kuna uhakika wa maji muda wote?
Siku ya pili sasa Mitaa ya Nyakato, National Buzuruga kote hakuna maji na haya ni maeneo ya stand kunakohitajika maji ya uhakika kwa watu kunawa mikono angalau kujikinga...
Unajua Sababu ni nini?
Hii inatokana na Hofu ya risk ya kuzipoteza hizo ulizonazo mkononi. Ukiwa huna fedha huna risk so kichwa kinawaza idea nyingi mno, ukiwa na hela na ukaanza kuzirejea hizo idea ulizokuwa nazo kabla hujawa na hela cha kwanza kinachokujia ni hofu ya kuzipoteza ukijaribu idea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.