Recent content by Grader

  1. Grader

    Prof. Benno Ndulu: Hakuna mdororo wa uchumi. Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua...

    Tatizo lako hukufanya chaguo sahihi October 25, 2015. Uchaguzi ujao jifunze kupiga kura yako kwa usahihi na siyo kutuletea lawama hazina msingi wowote. Kaa kimya watu wafanye kazi za kuleta maendeleo ya nchi
  2. Grader

    Mfanyakazi wa duka la dawa anahitajika

    Mwenye Elimu ya kazi ya kuuza dawa za binadamu (duka la dawa baridi). Mahali iliyopo duka ni Buguruni. Kwa mahitaji na aliyetimiza vigezo aweza kuwasiliana nami kupitia namba 0682 657 986. Msg pia zitajibiwa.
  3. Grader

    Hivi kipindi cha mada moto nacho kimepigwa BAN kama gazeti la Mawio?

    Hakuna uhuru wa habari kama unakosoa serikali tawala, naomba uelewe hivyo.
  4. Grader

    Mfanyakazi wa stationary anahitajika

    Fursa nyingine ya mfanyakazi wa stationary. Kwa maelezo zaidi contact 0789223485 msg pia zitajibiwa kwa haraka
  5. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Floyd money ametangaza kustaafu bila kupigwa. BERTO amkubali mayweather
  6. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Round ya Kwanza tayari berto kapiga power punch3
  7. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    BERTO record yaweza kumbeba kwani me chi 30 ko 23
  8. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Tajiri money money anaingia
  9. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Berto ameingia tayari jukwaani
  10. Grader

    Live update ya pambano la ngumu kati ya Mayweather vs berto

    Dakika chache zijazo pambano linaanza
  11. Grader

    Hatimaye wananchi wafunguka

    Acha kuboa wewe kibaraka wa ccm,nenda kapost kwenye twitter ya ccm na katoe habari katika gazeti la uhuru
Back
Top Bottom