Recent content by Gracie Mselle

  1. G

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Tunamshukuru Mungu kwa wasanii wetu kupatikana lakini sisi kama watanzania pia tuna kila haki ya kujua walikuwa wapi all days long na walichukuliwa kwanini na walio wachukua watutake radhi maana sio kwa kutupa pressure kiasi hicho, mbona sisi nchi yetu haijazoea hizi drama
  2. G

    Wanahabari, watanzania namuombea msamaha Makonda

    Kuomba msamaha ni kujua kosa lako na kukiri kutorudia tena kama umemuombea msahama inamaana yeye hajajua kosa na hatoacha kurudia, kama ni kweli hana vyeti i think akuchukue maamuzi sahihi anayotakiwa kufanya yeye kama kiongozi maana yeye ni kama kioo kama ataona kuendelea kukaa kwenye uongozi...
  3. G

    Wanawake badilikeni

    nyie mnaona ya kipuuzi hayo maswali lakini majibu yake yanatosha kuongeza upendwe
Back
Top Bottom