Recent content by Grace Mmbando

  1. G

    JamiiForums Tanzania Huyu dada nimfanye nini wadau?

    Msamehe roho itamsuta mwenyewe!
  2. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA wavunja ndoa yangu

    Tafuta demu ukawa. Wapo bomba sana asikupeleke kizamani maana swaga za ccm ni zakizamani alaaaaa!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

    Angalia usije harisha wewe hata nepi usikumbuke chunga ulimi wako kwani huumba?!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tunatengua hadi wagombea madiwani

    Safari ni ndefu lakini hakuna haja ya kukata tamaa mungu yupo na sisi kwani mungu wetu sio kijana!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Sijaelewa ameuteka mji Wa Moshi akaupeleka wapi? Ebu tujuze!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya pingamizi aliyowekewa Mbowe jimbo la Hai yatupiliwa mbali

    Same chant any I kids km hapa Moshi sijui ht kama wanafikia Tisa sana sana saba!daah wanatia Huruma maana ht wao walikuwa team lowasa ss sijui wataamua nini?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wananchi wajitokeza Kumlaki Kikwete Jijini Arusha Leo.....

    Wanasafirishana kwa hiyo kwao hao si haba! Siwaunganishe picha,?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    Ubaya Wa mwanaccm ni kujisahau sana na hawajifunzi kwa majirani eti ccm ni chama tawala! Kwani KANU ilikuwa chama cha Ushirika?!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

    Ukweli gani? Wazee Wa ccm unafiki tu ina maana hayo yakitendeka alikuwa nje ya nchi au wanajinusuru kwanini hakukemea anakumbuka shuka kumekucha unafiki tu hata kwa wakongwe sijui baada ya nyerere baba wa Taifa nani?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tumchague Magufuli na Wabunge wengi toka UKAWA

    Wee Marco polo ni Wa kupelekwa kwenye maombi maana huelewe tatizo sio MTU ni mfumo makofuli ni wale wale yaani kwa ujumla ccm haitakiwi ni vyema makofuli akaja ukawa tukomboe nchi
Back
Top Bottom