Recent content by Grace Komba

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    msamehe mke wako ndugu umeshamuadhibu vya kutosha na amejifunza kunjua moyo wako kwake anakupenda sn ndo mana bado anakuomba msaha miaka miwili? bd anakubembeleza tu mbona naamini kbs uwezo wa kuwa na mahusi mengine anao ila bado anakuitaji mume
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

    wala usimsamehe hata kidogo simamia msimamo wako. pia usikubali kuwakwaza wazazi wako eti kisa huyo mkeo sio mke huyo
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini tuwapo na wake zetu kwenye mizunguko

    nyie nao....... fuateni maelekezo
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    second wanawake wanene huwa wanamuonekano wa heshima sn wastaarab tofati na vimbau vimbau asilimia kubwa huwa nimicharuko sn pia wanamanone mengi kifupi wanakuaga hawajatulia
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    290 na point 10 vipi ulikuwa unasemaje?
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najisikia raha sana kuona msichana anatoa machozi kwa ajili yangu

    bora wewe
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    mwambie huyo
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    we bonge una huakika na maneno yko...?? labda nikwambie kitu hakuna wanawakd wanavutia, n kupata shida za kusumbuliwa na wanaume km wanawake wanene tena bora ht mwanamke mnene kuliko mwanaume mnene binafsi sivutiwi nao kbs au mwanaume mweupe kinyaa
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu wa ajabu sana

    tena kavurugwa hasa
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    hakuna wanawake wanamvuto na soko kubwa km wanawake wanene haa haa haa mwanamke ushepu babu sio kitu kimekauka kila ukishika unashika mifupa mwanamke tako & steki
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    anaonekana mshamba sn huyu jamaa urahisi wa mtu si nitabia ya mtu au hisia ya mtu tu sasa ye vipi aseme wanaweke wa aina flani warahisi?
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanene wanakua rahisi kutongozeka?

    we mleta mada lazima utakuwa ------ tu km ungekuwa lijari usinge post uongo km huu mbona mama ako ni mnene naye ni mrahisi..? acha kuongea pumba km vp rudi facebook pimbi we acha kukurupuka siku nyingine au umeamua kupost baada ya kuona mama ako
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, huyu ndio moyo wangu uliompenda

    Mmmh hongere yapo ya kuvumilia ila siyo hayo unayo fanyiwa wewe............... pole mwaya
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidie wanawake wenzangu na nyie wanaume zenu wapo kama huyu wangu?

    umeitwa? au umelazimisha?
Back
Top Bottom