Recent content by Grace-el

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini Sana kuliko wasio na makalio makubwa

    🤣🤣
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mizimu na madhababu za Ukoo inatesa Maisha yangu

    Lazima kuna wazee wa ukoo au kabila wanaojua haya mambo yao ya asili.... Jaribu kuwauliza. Kuna mtu ambaye ni mmachame namfahamu naye familia ilikuwa na vifungo vya namna hii na iliwatesa watoto wa kiume tu... Ilibidi kutafuta wazee wa kijiji ndipo walipoambiwa wafanye nini... Pili, waweza pia...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mizimu na madhababu za Ukoo inatesa Maisha yangu

    Mkuu ni hivi, Mungu ni Mungu anaye heshimu maagano..... Hapo inapaswa kuwaona wazee mkae nao chini wawaambie mfanye nini. Bila hivyo mtazunguka sana na msipate msaada. Maagano ya mababu zetu yaliwekwa kwa gharama kubwa na yalilindwa kwa gharama pia.
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mdada au mmama wa kuchat au kuongea naye usiku huu kwenye simu

    Mmh!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ni nani?

    Nashangaa watu wanamtukuza shetanj wakati Mungu anauwezo zaidi. Biblia inasema katika Waefeso 4:11-12 '' Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mzungu Ni mtamu sana, asikwambie mtu. Nimebahatka kula Mjerumani

    We kaka kha kiboko 😄Haya mfukuzio mwema
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kaka nimefuatilia story zako kwenye huu uzi mmh hatari.... Unakumbuka condom lakini?
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Anahitaji faraja yako
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

    😄😄
  10. G

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

    Vikunai ni mbele ya kijichi
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

    Mtoni kijichi au Vikunai
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata decorative wall clock (saa ya ukutani yenye marembo)

    Hizi hapa 65000
  13. G

    JamiiForums Tanzania Fursa za kusoma nje zipo ila sioni watanzania tukizichangamkia

    CANADA SCHOLARSHIP 202I, STUDY IN University of Toronto UNIVERSITY(CANADA) FULLY FUNDED SCHOLARSHIP FREE Benfit of 2021 scholarship at University of Toronto University. The scholarship will cover. -Full Tuition Fee -Living Allowance -Acoomodation -Medical Facilities -Traveling Allowance...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka siku ya kwanza maisha ya bweni mwili unakosa nguvu

    Umeme ukikatika usiku kengele inagongwa mnaambiwa form 1 kusanyikeni na ndoo zenu mkatafute umeme. Siku ya darasa la saba kumaliza tulifuatwa form one wote mabwenini walitumwagia maji na fimbo eti wanatukata mikia. Sitosahau na lile baridi la Mbeya Dah
Back
Top Bottom