Recent content by gpm2015

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

    Nafikiri wewe free ideas huko sawa nadhani endelea kumi mungu akufunulie ujue Mungu.pili naamini Mungu aneshakusamehe kwasababu Mungu ndiye aliyekupa pumzi ndio maana unaishi, tatu do not include science and the ALMIGHT GOD huo kwako ni upofu mkuu sana
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona kifo kinaninukia

    Wewe ndio mpumbavu namba moja ulishawahi ona wapi sumu inajaribiwa au kuonjwa? Shame on you
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama Ebu Kujeni Hapa.

    Haya ni majipu makubwa ambayo yanaeudisha maendeleo nyuma,haya yapo na nia ya kweli kabisa sio utani maana wanawake walipewa hata uwakande hadi na maji ya moto umjali umpe haki yake vizuri lkn anakwenda kuachia nje ya ndoa matokeo ndio haya ya 49%hapa ni kwamba tamaa ndio msingi wote ukitaka...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Nadhani hujaelewa aliyewasilisha mada ameeleza nini sidhani upo sawa kusema hivyo.ila ukweli utabaki hivyo mwanamke ndio alileta anguko na lilianzia bustani ya Eden sasa sijui unachoongea ni nini.kama mwenzako aliona mumewe hawezi sana kitandani kwanini hakumshirikisha? Maana mumewe ni mwili...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wapinzani (UKAWA) Waitikia Wito wa Mhe Rais Dkt Magufuli wa Kufanya Usafi!

    Usafi hauna itikadi acha ushamba,usifanye usafi kwako uone kama hufi
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Kwanza lazima ujue kwamba ulifanya huo ujinga kwa kukusudia maana hakuna anayesema ni bahati mbaya ukaeleweka maana ulikusudia kufanya hayo.isingekua akili zako ungekua haupo katika ufahamu wako wakati unaenda kufanya hayo uliyoyafanya tungesema labda umepitiwa lkn ulikua unajua unachokifanya na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Na haha mungu atakulipua maana unamdhihaki.kweli tamaa ni mbaya sana.yaani hata neno la mungu linaagiza msiachane isipokua kwa uasherati,sasa wewe tayari umeshamtanulia miguu mwanaume mwingine mungu aweza kukutoa katka maisha haya nitafute nikupe ushauri nini cha kufanya sio lazima tuonane
  8. G

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Kweli hamjali,. Mnaona vizuri kuweka password simu zenu kuficha mambo yenu na kuzinunulia makava mazuri sana lakini ni wepesi wa kutoa penzi kwa wanaume wengine na hamjui mnahatarisha afya zenu na waume zenu au wa penzi wenu.shame on you all whom you are not Faithfull in your marriage.shame on...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Ninyi wanawake asilimia kubwa about 95% sio wa amini ni vizuri ungelimuweka mume wako wazi kabla hamjaoana na tatizo lens makubaliano kutoa nadhiri ya kukubali kuolewa bila kuangalia je wewe mwenyewe unampenda kweli?mkusikia nitakuoa mnaanza kudata utafika right ndio utakua umepata...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi na wakuu wa Mashirika na idara hizi wangeachia ngazi tu mapema

    Kadco je umeiachaje?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli ashughulike DECI ya foreverliving, haina tija kwa taifa

    Wewe mtoa mada nenda kajipange uweke ushaidi wa utapeli hapa ili tuu amini usikurupuke tuu
  12. G

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Hapo makonda amechemka pamoja na wewe unaemtetea sidhani for a good reason and think tank ipo maana mtu kuchelewa hai halali shida kuwekwa ndani mtatiro yupo sahihi.msilewe hivyo maana RAIS Magufuli hawapo cheo ndio Kwanza mnatoka
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa chunguza tabia ya mama mkwe wako

    Hii ni kweli tupu
Back
Top Bottom