Mim ni mvulana wa 28 yrs,niko na girl friend wangu miaka 2 Sasa,mda wote huu tumekuwa tukipendana bila ya matatizo,lakin hivi miezi miwili iliyopita yaan amebadilka mno,sometime mpaka nashindwa kuamin ni yule nayemjua au mwengine,mpaka nimekuwa simwamini tena kutokana ta vitabia vya hapa na...