Recent content by gpesha2002

  1. gpesha2002

    Mtoto aliyekataliwa na baba yake

    kaka yako anaubabe wa kizamani..we fanya jambo jema na kaka yako asikutishe kuhusu kuvunja undugu wenu kwa maana hata huyo mtoto ni ndugu yako.msaidie mtoto na achana na irresponsible father,life is full of suprises watoto kama hao huwa hawatupwi na mungu so jst adopt him Sent from my...
  2. gpesha2002

    Nmejikuta nikiishia kwa rafiki yake!

    Jf ataadvise watoto..soma ulete shahada upate ushauri acha uzinzi mda wako bado na uache kucopy na kupaste Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  3. gpesha2002

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

    Usicheze na kitu kinaitwa engine..ama uchawi wa mzungu..kina help Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  4. gpesha2002

    Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

    We rafiki yangu unadhalilisha ndoa unataka kuacha mkeo kwa utamu wa bao la siku mmoja?kuwa mwangalifu familia yako kwanza hao makahaba wapo tu..pia yule mke wa mtu angalia usije liwa tigo Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  5. gpesha2002

    Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

    Hatudanganyiki wana jf papuchi na mkavu ushagawa..kijana gani wamjini miaka mitatu asikule?cha msingi shine yo eyes Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  6. gpesha2002

    Huwa anatokwa na haja kubwa wakati wa mavituz

    Ukipiga bao yy anakunya?duuhh unamoyo ww shujaa unaitaji manyota na pongezi Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  7. gpesha2002

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Huyu sio mpendwa ni mzizimkavu kama jina lake sisemavyo yy ni mzizi na nimkavu hana hisia za kibinahadamu na hajui faraja ya mwanamke kuwa na mtoto..ww wakikutoa pumbu na haujazaa utajiskiaje? Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  8. gpesha2002

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    We mshikaji mbona unaweka personal feelings?dada yako ashachomoa mimba nn ama mchumba wako kachomoa nn?tumshauli dada vyema na si kumletea nyenyenye..mi nadhani nenda kwenye maombi dada yangu kwa T.B joshua u wnt regret it otherwise watakutoa kizazi with time.u best believe. Sent from my...
  9. gpesha2002

    Je naweza kumjua mtu anaetumia arv

    Hahhaahahahaa bufallo syndrome..ddnt knw Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  10. gpesha2002

    Msaada wa sheria

    Hapo count yo losses alipigwa mimba akiwa is mwanafunzi..na umri wake ni majority age Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  11. gpesha2002

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    Mahali sio ndo hilo la kwanza..lakini kama mme kaa wote zaidi ya miaka miwili "under single roof" kuna kuwa na presumption of marriage na swala la mtoto sheria inaangalia the best interest of a child mara kwa mara mama ndo atakaa nae mpaka miaka saba. Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  12. gpesha2002

    Bangi ihalalishwe

    Kaka nasio kutetea kisa umesoma google..nakubaliana na ww bangi inatumika to some extent kama dawa..ila its effect ni dynamic kwa mtu na mtu haiko uniform kama vitu vingine kama sigara..na sisemi singara ni nzuri hapana ila economically ni nzuri more benefit than bangi..kwanza harufu yake...
  13. gpesha2002

    Afungwa kwa kumnyonya ulimi mwanafunzi

    Miaka 30 kwa kosa gani? Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
  14. gpesha2002

    Bangi ihalalishwe

    Wote waliounga mkono ni wavuta bangi..leo mnataka bangi ilalishwe kesho mmoja wenu akiliwa tgo mtataka ushoga ulallishwe..bangi ni mbaya msitualibie vijana wa kesho na mawazo yenu yakibangi bangi..nyambafu Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Back
Top Bottom