Recent content by gpblaze

  1. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Je hawa nao mashujaa wa tanzania?

    Kwa hvyo mnashauri tusipeleke askari wetu?
  2. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Je hawa nao mashujaa wa tanzania?

    Ok hapo tuko sawa.
  3. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Je hawa nao mashujaa wa tanzania?

    Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)Daafur katika harakati za kulinda amani chini ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa JE NA WENYEWE WATAINGIA KWENYE ORODHA YA MASHUJAA WA TANZANIA?
  4. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Msaada! Google play haifunguki

    www.androidpolice.com/2013/05/29/download-latest-google-play-store-4-1-10/ IFUTE ALAFU GONGA HAPO IWEKE UPYA
  5. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa mb za internet airtel mmeanza lini tena....,!!!!!?

    Hebu mcheki kama automatic update zipo on? Kama zipo on zimeni.
  6. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Projector

    Namba hujatoa.
  7. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Wheat & Paddy harvester

    Hcho kichwa cha habari ungeweka lugha ya kiswahili.au unalenga kuwauzia wazungu
  8. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Wheat & Paddy harvester

    Tumia lugha ya kiswahili watu watakuelewa vizuri na haraka.
  9. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Meli ya MV-Buruati inateketea kwa moto bandari ya Tanga

    Yap nimesikia itv muda si mrefu.
  10. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Toyota raum, probox 2004 na succeed

    Ist mkuu mi binafsi huwa nakaona kadogo sana.
  11. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Toyota raum, probox 2004 na succeed

    Raum ni nzuri.ila haina nafasi sana.na milango ya sliding,binafsi naiona kama ikisumbua ni ishu.
  12. gpblaze

    JamiiForums Tanzania used digital camera 95,000Tsh.

    Iphotoe basi
  13. gpblaze

    JamiiForums Tanzania iphone 5 inauzwa

    Hyo nadhani haiishi chaji-au unaweza kuchaji kwa nguvu za mvua
  14. gpblaze

    JamiiForums Tanzania iphone 5 inauzwa

    Ok hapo uko sawa.hebu mtafute angalau ukifika milioni moja atakuuzia
  15. gpblaze

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba maeneo ya msasani,namanga,mwenge,kijiton yama kwa elfu 30 kwa miezi 6

    Hata humu wapo madalali wengi tu ndio maana kaleta hyo thread
Back
Top Bottom