Toyota raum, probox 2004 na succeed

Toyota raum, probox 2004 na succeed

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
wandugu habari, naombeni mnipe ushauri juu ya hayo magari apo juu kabla sjanunua. ushauri wenu nautegemea sana katika kutafuta gari ya kuazia maisha yaani gari yangu ya kwanza. hata kama kuna jingine nje ya hapo ambalo ni nzuri kwa mtanzania wa kipato cha chini na mazingira ya kibongo basi mtanishauri pia.

shukrani
 
Raum ni nzuri.ila haina nafasi sana.na milango ya sliding,binafsi naiona kama ikisumbua ni ishu.
 
Ist mkuu mi binafsi huwa nakaona kadogo sana.
 
Nunua suzuki V4-escudo ,ni economy na durable

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naombeni ushauri gari gani ambalo ni economical in fuel consuption, spare parts. Tafadhali nahitaji mawazo yenu wakuuu......
 
Natumia raum 1999, ina nafasi ya kutosha angalau, injini yake ni poa sana, hasa ukiipata ikiwa hali ya grade 4 au zaidi. Tangu nimeinunua 2011, haijawahi kupata mechanical au problems zozote, nadunda tuu, kila siku barabarani; safari fupi na ndefu-Mbeya-dar-mbeya, SO tu me ni gari nzuri, mwakani nauza natafuta nyingine design hiyo hiyo!
 
Achana na vigari vidogo vidogo mkuu. Angalia kitu roho inapenda kamata mchuma wa maana hata mwenyewe ukikaa kwenye gari unajiskia.
 
Hivi raum model ya 2004 nikiagiza from japan na exchange rates za saivi inakuja kama shi ngapi approx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom