Je hawa nao mashujaa wa tanzania?

Je hawa nao mashujaa wa tanzania?

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ)Daafur katika harakati za kulinda amani
chini ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa JE NA WENYEWE WATAINGIA KWENYE ORODHA YA MASHUJAA WA TANZANIA?
 
mashujaa ni wale wanaotetea na kulinda mipaka ya nchi wanayotoka na huo ni uzalendo.

wale ni mashujaa wa Sudan. siyo uku. RIP
 
Kwa hvyo mnashauri tusipeleke askari wetu?
 
mashujaa ni wale wanaotetea na kulinda mipaka ya nchi wanayotoka na huo ni uzalendo.

wale ni mashujaa wa Sudan. siyo uku. RIP

Kiongozi kuna mashujaa walienda Msumbiji na makaburi yao sasa tumehamishia Mtwara....
 
Back
Top Bottom