Recent content by Goza

  1. Goza

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nimepitia mara nyingi kusoma post zako zimenivutia sana na sasa nataka kuona mambo tofauti nimechoka kuona mambo yale yale kila siku kibaya zaidi nimehangaika sana kwa waganga lakini sikumuamini hata mmoja kwa kifupi na mengi sana ya kueleza ila naomba ufafanuzi kuhusu ipi ya kuanzia baina ya...
  2. Goza

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nakukubali sana mkuu mshana mimi jicho langu la kulia linachezacheza sana hivi kwa linafanya hivyo naomba ufafanuzi wako mkuu maana linanipa fikra sana naomba Msaada wako mkuu
  3. Goza

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu uzi umenivutia sana kwa mda mrefu sana natafuta nyimbo za Sophia george album galle galle zinanitesa sana nyimbo za huyu dada
  4. Goza

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Kwa mtazamo wangu naona kama vile kuna malengo ameweka kabla hajafanya hitimisho anataka kuona ushindani ukiwepo kwa Jamii zote zenye akili timamu na ndio maana kuna ubaya na wema na ndio maana tunajiuliza maswali mengi majibu yapo mengi tu kichwani mwako na sio lazima upatie kujibu Wapo...
  5. Goza

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mtoa uzi yuko sawa hata mimi nilihoji kwa nini tunakufa wakati mungu hauwi wakanambia ahadi ya mtu ikifika anakufa nikahoji vp watoto wadogo wanaokufa na wale wanaozama baharini na wanaopotea inakuaje kwa sababu niliambiwa ukifa ukizikwa kuna malaika anakuja kukuuliza maswali ukishindwa kujibu...
  6. Goza

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sophia Jorge Albam ya miaka 90'nimetafuta sana napata nyimbo moja tu ya garly galry Msaada wadau
Back
Top Bottom