Recent content by goukun wadey

  1. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

    Uwongo wa hivi nao unauleta humu, bali haishangazi si kuna watu wanaamini jp ni mwishoni mwa wiki?
  2. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

    Unamaanisha au?
  3. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

    Yaani umekwama na , wapemba, waarabu, mara wayemen, hadi waislam. Sema sipendi waislam na vitu vyao, huna haja ya kuanzisha ajenda ya kupiga uislam vita kupitia tv za watu, ni mpango muovu acha
  4. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

    Kipaumbele ni mpira, Acha kujizima data. Toa ushahidi usio na shaka acha kuunga unga doti
  5. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

    Kwani zile za kinaigeria za Itv zinazoishiaga kuwa mlokole ziliishia baada ya Azam kuanza matangazo ya TV au
  6. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

    Kwa ndaaani, kuna kundi kubwa limeumia sana juu ya uwezo, misimamo, ustarabu, na tamaduni za waarabu (waqatar). Na vile hawajawahi kujinyanyua.
  7. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Ndio maana kwenye jumuia kila kikao lazima atokee mmoja amtaje MAMA kwa ubayaaaaaa!¡!!! nilikuwa sijastuka, hasa nikikumbuka tulivyokuwa tumebanwa na mkatoliki 'yule' lkn sasa imekuwa ghafla ni ati alikuwa bora.
  8. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Tujadili Korosho

    Natamani ufunguliwe mjadala wa korosho, yajadiliwe yafatayo! Maandalizi ya shamba, mavuno na mauzo (soko). Kwa kuanzia najua kwamba haijawahi kutokea pasiwe na malalamiko yanayohusu zo la Korosho kwa kila mwaka, iwe kwenye maandalizi ya shamba, mavuno hata mauzo. Nini tatizo hali ya kwamba hili...
  9. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuja kuharibu maisha ya vijana, Mimi ni mmoja wa wahanga

    Bila kumung'unya maneno, JPM alikuwa kiongozi mbaya, na hakufaa kuwa Rais. Amesukika Jeneraji mmoja akitamka.
  10. goukun wadey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya simba kwenda mfumo wa kisasa ni kitapeli

    Ndio klabu ya kwanza kwa ngazi ya ligi kuu duniani kuongozwa na Rais KIBARUA.
  11. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakatisha hotuba ya Rais Samia wakilalamikia kupanda bei ya Mafuta

    Nakumbuka ziara ya mtwara akiwa Masasi kuna jamaa walichezea kichapo, walikuwa na magazeti yamekunjwa kunjwa. Baada ya kisago wakaja gundua kosa Lao ilikuwa ni yale magazeti waliokuwa nayo mkononi.
  12. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Ni sawa, kwani pombe ni haramu, uzizi, uchawi, uongo, wizi, nyamafu, lakini vinafanywa na watu wengi kuliko wasiofanya. Jambo la kuongoza mwanamke halijafikia kuwa haramu, bali katika nchi za kisekula ndio kabisa lipo sawa tu
  13. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kuna wakati aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani alimwita jpm kuwa ndie Kristo haikuwa shida, na mkuu mmoja wa mkoa wa tabora alimtaka Mungu ndio amshukuru rais kwa kazi mzuri anayofanyia watanzania, ilikuwa sawa kwa nini leo imekuwa nongwa?
  14. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Sababu za CHADEMA kushangilia kurudi kwa mafisadi CCM ni zipi?

    Kuna kanisa fulani walitunuku cheti maalum kwa kuishinda korona
Back
Top Bottom