Asante sana kwa ufafanuzi, nimejaribu kufanya ulivyonielekeza lakini hakuna lolote. Namba niliyosajili NIDA ndio ninatumia hadi sasa, Mama yangu alikuwa mweneyekiti wa mtaa toka 2009 hadi sasa na nyumba imesajili na pia nimeingia kwenye website yao na nikiingiza namba ya simu au ya nida...
Habari wana JF
Naomba kupata uelewa wa mfumo wa makazi wa NaSA. Nina mtoto ananiuliza hiyo kitu wanasema inahitajika katika maombi ya mkopo chuoni, sasa sielewi ndio nini, mwenye uelewa anielekeze
Itakuwa ishu ya kumsema mwijaku kuhusu makalio, kwa hiyo nahisi mwijaku atakuwa ameenda polisi kumshtaki na polisi wamemuita ili ajibu kuhusiana na tuhuma hiyo.
Uliwahi kwenda benki kuomba mkopo?, ukiwa mtumishi wa private unapewa mkopo?, kwanini mabenki mengi wanawapenda watumishi wa umma kuwapa mkopo kuliko watumishi wa private au pengine hata wafanyabiashara?, Je uliwahi kuona benki inamkopesha msomi asiye na ajira bila kuwa na chanzo chochote cha...
Habari zenu JF
Naomba kuuliza mwenye kuelewa anijuze, nimenunua LUKU mwisho mwa meseji nimeona wameandika DEBT COLLECTED, Hili deni wanalokusanya ni deni Gani?, Kodi ya nyumba au ni Nini?,
Habari wanaJF.
Naomba kujua hivi proposal presentation inakuwaga na marks ngapi kiujumla? au marks huwa zinawekwa kwenye dissertation kwa ujumla na sio proposal peke yake, namaanisha marks zinatolewa baada ya kumaliza dissertation na sio kwamba propasal na disertaion zinakuwa na marks kila...
Habari JF,
Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional) certified imeanza kuwa ya lazima kwa baadhi ya taasisi za serikali?
Maana kuna tetesi nimesikia kwa taasisi kama TANESCO NA TCRA wanataka watu waliokuwa na PMP hasa wahandisi, mwenye ukweli kuhusu hili anijulishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.