Recent content by Gosbertgoodluck

  1. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    Maswali unayouliza hayana mashiko kabisa. Ni bahati mbaya sasa umekosa hata chembe ya hekima na busara katika kufanya shughuli hiyo ya umma. Ingekuwa ni kampuni yako binafsi hakuna ambaye angepiga kelele lakini kwa kuwa unakalia ofisi ya umma, just count on me, you wont take time. Hiyo dosali...
  2. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sijamuoa mtoto wa rais Kikwete, sipo bungeni kwa ajili ya kupigana ngumi

    I can't believe if this is your contribution.
  3. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Safari za E. Lowassa Mikoani: Anamwakilisha nani!?

    Inaonekana Lowassa anawauma watu sana. Mwacheni mwenzenu aendeleee kujisafishia njia ya kwenda Jengo Jeupe. Wakati nyie mnalilia tu na kumsema sana, yeye amekaa kimya anaendelea kuchanja mbuga. Sasa hivi watanzania, wanajua vizuri nani ni mpiga porojo tu nani ni mpiga kazi. Ikifika 2015...
  4. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania M23 warudi nyuma, Rwanda yapeleka Jeshi mpakani, Rais Mseveni aitisha kikao cha dharura Kampala!

    Kana roho mbaya hako kajamaa ndiyo maana mwili umekakamaa utadhani dagaa wa Mwanza au utadhani hakagongi menu.
  5. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Majina ya Majaji wanaolinda wauza madawa ya kulevya yatajwa! Wamo Pendo Msuya na Dr Fauz Twalib

    Lahaulaaaa, ama kweli tumekwisha. Kumbe mtandao umeingia mpaka mahakamani!!!
  6. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Hayo ni majini au watuuuu!!!
  7. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Vituko vya mabango ya Mei Mosi -Mbeya

    Kama kawaida yake.
  8. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    Mkuu, that is the way they have been taught. In islam there is nothing like reasoning out.
  9. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa Kifaransa mwenye kuimba nyimbo za rap awa muislam asilimu

    You must be a teacher. Your presentation has touched me nicely. Stay blessed!
  10. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Ndugai ametumia HASIRA badala ya HEKIMA.
  11. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Viongozi wa TBC lazima mtambue kwamba chombo hicho kinaendeshwa kwa kodi yetu wananchi. Kwa nini leo mmekatisha matangazo ya moja kwa moja bungeni wakati wananchi wakiwa na hamu ya kujua kinachoendelea kuhusu uamuzi wa naibu spika wa kumtoa Mhe. Tundu Lissue nje? Laana ya matendo yenu itawafuata...
  12. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itafikia Democrasia kama hii?

    Ni upungufu wa akili vilevile kulazimisha wananchi kusikitika na kuomboleza kifo cha adui yao.
  13. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    Hakika ni shetani tu anayeweza kufanya hujuma hii dhidi ya binadamu. Naamini ipo siku Mungu atafunua uovu wote huu hadharani na watanzania wote tutashuhudia.
  14. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikwete anajua CCM bingwa wa udini?

    Tehe tehe tehe kwi kwi kwi iiiii!!
  15. Gosbertgoodluck

    JamiiForums Tanzania Kwa Vifo Hivi, Watanzania Tujiunge Kulaani na Kuwataka Viongozi Husika Wajiuzulu

    Ndugu zangu wanajamvi, Kama kuna jambo ambalo nimebaini limewagusa wengi ni vifo vya ndugu zetu wawili waliobanwa na lori lililopata ajali kwenye barabara ya Morogoro - Chalinze. Jambo linalowasikitisha wengi ni kwamba taarifa za kubanwa kwa ndugu zetu hao chini ya lori zilitolewa mapema...
Back
Top Bottom