Recent content by Gopsh

  1. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Poleni wasanii ni kweli mnawakati mgum kuzipokea hizi hali karibu imekuwa kila wakati,mungu awape faraja awaondolee huzuni,vilio na majonzi
  2. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Duh aisee sina cha kusema kiukweli imetuumiza wengi amefanyika msaada wakati wa majonzi kwangu kupitia kanda zake za vichekesho,Mungu aitunze familia yake na zaidi mapenz yake ya timie wanadam hatuna jinsi...Rest In Peace sharo millionair!we stil lov u
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kinana, campaign manager aliyeshusha kura za Kikwete kwa 20%, Je kuipandisha CCM?

    Eti timu mpya, sijui nani mpya hapo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Duh nashukuru kaka kwa ushauri aisee
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Sasa wewe unaona kuna kosa la kurekebisha kuendelea kuishi na mwanamke malaya waziwazi na mshirikina?nimeshasema swala la kuniendea kwa waganga yeye mwenyew amelithibitisha sasa huamini nini??ww ungeweza kuendelea kukaa na mwanamke unaejua wenzio wamemvua nguo na bado anakuloga si ni muuwaji...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Sio kipindi chote mtoto alikaa kwa bibi ila ni kipindi cha mfarakano kwahyo km kukaa na mama yake alishawah sana na nikaona malezi yake anyway..
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Lakini jamani kwa hali ya kawaida km mwanamke unampa kila kitu alafu anatembea na wame za watu na bado anakuendea kwa waganga,kuna mapenzi hapo jamani?kuns kosa la kusamehe kutoka moyoni hapo?nasikiaga katika kosa ambalo mwanaume hawezi kulivumilia nipale akigundua mkewe wa ndoa anavulia nguo...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Hata hivyo hicho kipindi chote mtoto alikuwa haishi na mama yake alikuwa anaishi na bibi yake ambae ni mama yangu,kwahyo swala la mtoto kukaa nae yeye halina ulazima hata akikaa nae haonyeshi ile hali ya kujali km ndo mama mzazi wa mtoto,na sio kwamba sijali hisia zake,ila ni kutokana na hayo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Pia huyo mwanamke nilivyomuoa alikuwa ameshazaa mtoto na mwanaume mwingine,ikatokea kapata mimba yangu ikabidi nioe ila nilikuwa cjajua km kazaa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Je nikiamua kuishi na huyo mwanamke mpya km mwaka kumchunguza analeaje watoto,mtoto si mdogo sana ana miaka 6 ,nikaona anafaa kulea,mana huyo mama yake mzazi tu hana upendo sana na mtoto wake wa kumzaa,je nikigundua huyu replacement anakaa vzr na watoto wangu kuna haja ya kuhudumia nyumba...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Nina mtoto mmoja,huyo atakaezaliwa ndo sina uhakika km ni wangu nasubiri azaliwe,yea nilitembea nae mara moja,nasikia wamama wa kambo wananyanyasa watoto mdomaana,huyu replecement nina karibia mwaka sasa toka nimekuwa nae na nimemuona ni mvumilivu kwani amenivumilia mambo mengi pia nimemchunguza...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Nina mawazo mpaka nakosa usingizi mimi sielewi huyo mwanamke mwingine nampenda sana na naamini nikiwa nae nitakuwa na furaha,amani,na maendeleo ila nawaza ataweza kulea watoto wangu??na kuendelea kuwa na huyu mwanamke mwenye mimba bado sitakuwa na amani kabisaa kila nikimuona napata hasira na je...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Na mbaya zaidi alikuwa anatembea na mume wa mtu na huyo mwanamke alimuonya hakuelewa akaniface mimi,ma sio mwanaume mmoja na zaodi nilikuwa sipati haki ya tendi la ndoa kumbe alikuwa na anaempa kwa mapenzi yake mimi mpaka nimlazimishe mpaka tukatengana vyumba ndani mwisho kutengana na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Huyo replecement ilikuwa mwaka jana mwezi wa 11 mwishoni na huyo mwanamke mimba alipata mwezi wa 11 mwanzoni na alinilazimisha tendo la ndoa..sikuwa na mpango wa kuzaa nae tena,pia matatizo yalianza muda nikamvumilia sijawah kucheat mimi ni baada ya matatizo kuzidi,pia aliemsindikiza huyo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu atanifikisha pabaya

    Ivi km una mke wako,umegundua anatembea nje ya ndoa waziwazi bila vifisho na una vithibitisho,ukaamua kumfukuza,mkatengana kln akiwa na ujauzito wako na sio kutoka nje tu ila na matatizo mengine ikiwemo kutoshiriki vzr na ww tendo la ndoa na heshima ya km mume kwake haipo,baada ya...
Back
Top Bottom