Recent content by Googling

  1. G

    Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    You're pu$$$¥ Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
  2. G

    Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    You're peace of shit to me..., my brother, even US you just watch on TV or movies, that it I'm sure 1 million % you just never move ur gadm ass out of Tz. I'm pretty sure for that. Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
  3. G

    Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    Sasa mbona USA mwenyewe ana Madeni makubwa ambaya hatoweza kuyalipa mpaka dunia inakwisha mbona haya semi ya kwake. Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
  4. G

    Tetesi: Kampuni ya Indiana Mining imesema haitasita kukamata ndege za Tanzania kama haitalipwa madai yao

    Ukiuliuza faida ya KUFUFUA Shirika la ndege la ATCL ni nini huwezi pata majibu yenye tija hata kidogo hapo ndio unajua unaweza kuwa na elimu lkn usiwe umeelimika hata kidogo ukitizama MTAJI ulio wekwa kununua hizo NDEGE zote kuanzia mwaka 2016 hadi sasa na ukiangalia maisha ya kawaida ya...
  5. G

    Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani

    Unajua takwimu sasa zinaonyesha BRICS imeipita G7 countries kwenye GDP nenda kwenye makala ya biashara ya kimataifa kasome utaelewa hata wao wanamesha liona hilo in ten years from now kama hawato find away wanakwenda kuanguka vibaya hasa. USA ndio mwenye shida kubwa sababu ana previllage ya USA...
  6. G

    DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Sasa simuende huko DODOMA kwenye makao makuu na ma office yote ya serikali yapo huko tuwachichueni MJI wetu wa MZIZIMA upumuo ustaarabu urudi kama zamani mji wote ulikuwa na watu waungwani hukuti mtu kauziwa kiwanja fake au kadhulimiwa nyumba , shamba au mambo ya hovyo hovyo kama yalivyo sasa...
  7. G

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa

    Hakuna sheria inayosema hivyo kwamba kiwanja kiwe kinaanzia ukubwa fulani ndio uweze kupata hati kwa kawaida mawaziri huwa wana hulka ya kukurupuka hawana uelewa wa mambo mengi wapo pale kisiasa tu ndio maana kila waziri anakuja na mambo yake yawe ya hovyo au ya maana. Natoa mfano nyumba karibu...
  8. G

    Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

    Sababu ndio tuna ambiwa kila kicho kizuri kipo ULAYA na US au CANADA na Vibaya na maisha DUNI yapo DUNIA ya tatu. Lkn ukweli tia mguu huko ndio unakwenda kukutana na reality ya maisha ya kweli ambayo sio yakwenye TV au Movie unakutana na really life unajiuliza mbona sio kama nilivyo kuwa na...
  9. G

    Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Kwanza elimu yako ya level gani? Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
  10. G

    Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    USA iliingia mkataba na SAUDI ARABIA ya kwamba hato uza mafuta yake isipo kuwa kwa USA CURRENCY (DOLLAR) lugha rahisi PETROL DOLLAR wakibadilishana na ulinzi ya kwamba USA watakuwa wakimlinda sasa kilicho tokea utawala wa BIDEN umekuwa na matatizo na SAUD KINGDOM.Sasa hivi SAUD ameingia mikataba...
  11. G

    Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Kwanza maisha yanapo kwenda kwa sasa ni hatari itafika wakati neno mwanamke kuolewa itakuwa kama bahati watoto wa NJE ya ndoa wanavyo ongezeka ni hatari na hawa ma Fimenist wamekuwa kama wendawazimu wamechanganyikiwa kisakolojia unakuta mwanamke anamiaka 35 yrs au 40 yrs old hana mtoto hana mume...
  12. G

    Hali ya wanachuo mtaani

    Huyu mwanamke ana Entrepreneur mind set within a year ame face reality nakujua kuna maisha mengine kabisa baada ya kumalizia UN na kuhakikishia brother huyu mwanamke mpe muda mfupi utakuja kushangaa anakuwa na restaurant ya maana kama hato kataa tamaa. Kosa ulilo fanya ni moja tu ungempa hope...
  13. G

    Rais Zelenskyy amualika Rais Xi Jinping aje Kyiv

    Hivi kuna Nchi inaitwa UKRAINE kwa sasa ? UKRAINE na Palestinian hazina tofauti yoyote ile. Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
  14. G

    Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

    Kwahiyo hii hasara ya Billions 183 kwa mashirika zaid ya kumi ni sawa na ile OVER INVOICE $ 87 MILLION iliyo lipwa BOING kweli Nchi ina hela hasa ......over INVOICE Zipo nyingi sana TZ hili jambo lipo toka zamani hata alipo kuwapo JPM na ndio njia rahisi ya kupata hela na hii mara nyingi...
Back
Top Bottom