Recent content by Googler

  1. G

    JamiiForums Tanzania Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Ukiwa Rais unakua Mali ya state, ndio maana mjane wake anaendelea kulipwa 80% ya salary ya sitting president, anapewa magari, wapishi, wasaidizi na atajengewa nyumba. Hata kaburi lake linalindwa na askari wetu. Baada ya kifo lazima vijana wapite kukusanya documents za office zikahifadhiwe.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2023-2024 yapendekeza kuongeza Tsh. 100 ya Ushuru wa Barabara kwa kila lita

    Pumbavu wewe. Unajua gharama za maisha zilivyo Dar? Chumba laki tatu, Kigoma unapata nyumba nzima.
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Mimi pia nauliza: wanaopata wake wazuri waliotulia wanafanyeje?!
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta binti alie serious na maisha awe rafiki yangu. Sifa: Umri usizidi miaka 30 Asiwe mlevi Dini yoyote Elimu ya chuo Matured Mimi ni mrefu wa wastani, miaka 34 na nimeajiriwa pia nafanya mishe mishe zangu binafsi. Napendelea kusoma vitabu, kusafiri, kuangalia mpira, kuogelea na movies. Pia...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Utumishi Jeshini, Meja Jenerali Paul Kisesa: Jeshi la Wananchi halina chama

    Huyu nae atuache kwanza. Kama jeshi halina chama mbona Askari wake wameteuliwa vyeo vya kisiasa - ukuu wa wilaya?! Wanapoingia kwenye kamati za siasa za wilaya za CCM ( moja ya majukumu ya ukuu wa wilaya) hua wanakua sio wanachama?!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli anaandaliwa kukaa madarakani kwa muda mrefu zaidi

    you are f***ed
  7. G

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo inawaibia Watanzania

    Hii kitu inaumiza sana Unakatwa kwenye salary, makato hayapelekwei na hazina. Ukija kuenda deni limepaa. Ukiwaambia wanajifanya kustuka, wanarudishia makato yako na kutoa kwenye deni ulilonalo hivi sasa (Kila siku retention fee inapanda, yaani kila siku deni linakua ....hata Bank sio hivyo.)...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu,makosa madogo yarekebishwe hima

    Kuna watu wa ajabu sana. They got one job and one job only and yet they can't make it right:rolleyes:
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu,makosa madogo yarekebishwe hima

    Tafsiri Press Release unapata nini?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi: CCM ya Rage, Nkhamia na Majimarefu

    Ha hahahaaaa... haya bana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Freezer

    kama hujui ni lita ngapi itakua ishu mkuu. Lita na aina ya friza ni muhimu kupata depreciation value vizuri
  12. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Freezer

    mpya au used? uko wapi? njoo pm pls
  13. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Freezer

    Habari wadau Nahtaji freezer mpya/used kati ya lita 200 - 300. Niko dsm. Mwenye nayo ani pm
  14. G

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu kuuza hisa January 2017?

    Habari wadau, Kuna tetesi sana mtaani kua makampuni ya simu yameamriwa na serikali kuuza asilimia 25 ya hisa zao na yataanza kufanya hivyo January Mwakani. Je, taarifa hizo ni sahihi? Na iwapo yataingiza hisa, mfumo wa Initial Public Offering (IPO) utatumika au la?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya za ATCL kukabidhiwa kwa TGFA ili kuepuka ATCL kufilisiwa kwa madeni inayodaiwa

    unadhani mmiliki wake ni nani?! kwa hiyo likikosea, mmiliki hawajibishwi?!
Back
Top Bottom