Recent content by Google chrome

  1. Google chrome

    Ukifikia hatua ya kumiliki biashara inayohitaji angalau wafanyakazi watano basi utagundua wachina, wahindi na waarabu husingiziwa bure tu

    KItu kimoja cha kuzingatia ni kwamba, ajiri mtu ambaye utaweza kumpeleka polisi/kumuwajibisha pale atakapomess na biashara zako. Ukiajiri ndugu/marafiki/ndugu wa mkeo/marafiki wa mkeo... wakizingua, utaweza kuwawajibisha?
  2. Google chrome

    Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

    Hapo aongezee na series inaenda kwa jina la Tehran, zipo season 3.
  3. Google chrome

    Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

    Akija kukopa unamwambia aende akakope bank au kwenye taasisi zinazokopesha. Vinginevyo ukiendelea kukopesha watu iko siku utaangalia notebook yako ya watu unaowadai unakuta unadai fesha kiasi cha kutosha bajeti ya wizara moja 😀😀 na hawana mpango wa kurudisha.
  4. Google chrome

    Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

    Kukopesha sikuhizi ni kama kufanya risk business, kopesha the amount you are willing/affording to lose, otherwise you will learn in the hard way. Kukopeshana kumevunja sana urafiki.
  5. Google chrome

    Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

    We nawe utatapeliwa kirahisi sana, Jaguar gani ya milion 400+ anamiliki? Jaguar anayomiliki si ile Jaguar series za XF mpaka mil 25 unaipata used from Japan? Gari anayomiliki si ndio hii Nenda Be forward kaangalie Jaguar XF zinaenda kwa bei gani uache kupangwa kwamba gari ni ya mil 400+
  6. Google chrome

    Hizi ni sababu za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uchochezi

    Ingekua ni ile Jamiiforums kabla ya 2015, huu uzi mods wangekua washaufuta na unapigwa ban ya miezi 6 kutoshiriki chochote hapa JF. Mods siku hizi wanaacha wagonjwa wa akili kama wewe kuendelea kupost kila siku.
  7. Google chrome

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Hao ndio wameonyesha wako committed na jambo lao 😂😂😂 a true meaning of iwe jua iwe mvua.
  8. Google chrome

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu Itoshe kusema wachambuzi wa Magharibi, vyombo vya habari, na wanasiasa kwa namna flani walipuuza uwezo wa kijeshi wa Urusi. Hakuna mtu anayepinga mtu flani awe/asiwe na mapenzi juu ya nchi flani, ila mapenzi yasitie upofu wa mtu kushindwa kuchambua mambo in 3D. Binafsi sishangazwi na Pro...
  9. Google chrome

    Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) SPECIAL THREAD

    Nimesikia hilo pia kwamba wana plan ya kujenga new campus Kigoma. MUHAS pale Mloganzila nadhani walishindwa kuiendesha ile ndio maana wakapewa MNH waiendeshe, ishu kubwa itakua hawakua na uzoefu wa kuendesha hospital, labda itakuja kurudishwa kwa MUHAS miaka ya badae. Ila mloganzila palijengwa...
  10. Google chrome

    Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS) SPECIAL THREAD

    Organogram ya MUHAS nadhani imebadilika hiyo uliyoiweka ni ya zamani kidogo, kuna vyeo pia naona vimevunjwa mfano DVC mmoja alikua anasimamia Academic, Research & Consultancy kwa sasa kuna DVC anayehusika na Academic kivyake na DVC mwingine anahusika na Research & Consultancy. DVC-Planning...
  11. Google chrome

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wanatakiwa warudi tujadiliane hii ni open thread sio uhasama wala uadui, waje watoe maoni yao kwamba kwa nini walifikiri western walikua nyuma ya mzee Prigo?
Back
Top Bottom