Recent content by goodlif1600

  1. goodlif1600

    Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Mkuu Umeongea kwa jazba sana kijana atakua kakuelewa lkn
  2. goodlif1600

    Ni mwaka wa 6 sasa sijapata ajira ya ualimu TAMISEMI

    Mkuu serikali haiwezi kuajiri graduates wote waliopo mtaani ...kwaio kwa maarifa uliyonayo tena degree holder kabisa wa miaka saba mtaani endelea kufanya unachofanya kwa bidii I hope utafanikiwa zaidi kuliko kwenda kuanza ualimu
  3. goodlif1600

    Ninunue gari lipi kati ya Toyota Vanguard na Suzuki Escudo 2008?

    Hizi akili ni zangu kabisa...sijui kwani nazielewa sana Rav 4 generation 3 hizi gari zimekaa vizuri sana.very comfortable.
  4. goodlif1600

    Napenda sana majirani wa aina hii

    Nimesikitika sana .. kwaio uliamua kushindana na mwanamke Kijana kwa ujinga huu hautaweza kuja kuishi na mwanamke ndani. Mwanamke akiongea Mara nyingi anatumia hisia sio akili kwenye situation kama iyo ulipaswa kumsikiliza na kumuacha lkn sio kufanya ukichifanya kwa hao watoto
  5. goodlif1600

    Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Watu wanacholalamika ni double standard iliyopo kwenye muungano unakua mtanzania ambae huna haki upande mmoja wa muungano alafu wale wa upande wa pili wana haki zote kila sehemu.
  6. goodlif1600

    Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Muundo wa muungano no vema urekebishwe mkuu ili tuwe na muungano imara.Hapa ni bora tuchague serikali 1 au 3
  7. goodlif1600

    China ilikuwa sawa na Tanzania, leo wao sawa na Marekani

    Sisi Africa shida ni viongozi tu wamejaa ubinafsi.
  8. goodlif1600

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Unakosea mkuu wanyonge tunapenda aliyeko huu akiharibu ashushwe awekwe Mtu making asiye na uzembe ili atuhudumie vzr.
  9. goodlif1600

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Utakua ndo Amos makala wewe unajitetea Ila ukweli ni kwamba kueleka uchaguzi mkuu -2025 chama kilitakiwa kizungumziwe kila siku (Trending) na kazi hii anaiweza Ndg. Paulo makonda
  10. goodlif1600

    Kampuni ya PepsiCo

    Mtoa mada ongeza nyama kwenye hii thread tuelewe
Back
Top Bottom