Recent content by goodfool

  1. goodfool

    JamiiForums Tanzania Msaada PC haitaki ku print kabisa

    kwa zingineinafanya, na driver ni zilezile, ishu ni kwamba inagoma printer zoote, nime solve ishu zote za spooling na update zooote
  2. goodfool

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo kompyuta kugoma ku print

    Canon ir2530
  3. goodfool

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo kompyuta kugoma ku print

    Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile. Printer mpaka inatambuliwa na pc ila ukisend job haitaki Naamini mmenielewa ndugu. kwa ambaye alishawahi kukutana na changamoto...
  4. goodfool

    JamiiForums Tanzania Msaada PC haitaki ku print kabisa

    Habari ndugu zangu, kuna desktop niniatumia tatizo haitaki ku print nimebadili windows na os hadi linux, nimeweka kila driver ila inagoma ku print printa yoyote ile. Printer mpaka inatambuliwa na pc ila ukisend job haitaki Naamini mmenielewa ndugu. Kwa ambaye alishawahi kukutana na changamoto...
  5. goodfool

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    NATAKA KUFYATUA 45 JAMN
  6. goodfool

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    WALE WAZEE WA KUPIGANA PALE FAYA WAPEWE KAZI
  7. goodfool

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya suala la DPW, kutukanwa Rais na ugumu wa maisha

    Watu wengi hasa vijana wamekua wakipinga kwanguvu na kwa lugha ngumu na msisitizo kuwa Bandari isipewe wawekezaji. Je kuna uhusiano kuwa wengi wao na ndugu zao wananufaika na ajira za Bandarini na mishe mishe za pale ambazo wanahisi muwekezaji itakua ndo mwisho wa wao kula? Je ukosefu wa ajira...
  8. goodfool

    JamiiForums Tanzania Q&A: Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?

    Ni Nature.
  9. goodfool

    JamiiForums Tanzania Ikoje likizo bila malipo?

    Una uelewa lakini, na je umejibu swali?
  10. goodfool

    JamiiForums Tanzania Ikoje likizo bila malipo?

    Mzaha
  11. goodfool

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara ya kuanzisha kwa mtaji wa milioni 5

    Asante sana pia
  12. goodfool

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara ya kuanzisha kwa mtaji wa milioni 5

    Sitaki zambi, utapeli, ujanja ujanja
  13. goodfool

    JamiiForums Tanzania Ikoje likizo bila malipo?

    Wakuu habari Mwenye uelewa na Likizo bila malipo kwa watumishi kama wa afya, elimu na serikali kuu anieleweshe Je kuna ukomo Je utaratibu ukoje. Asante
  14. goodfool

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya ulawiti kwa watangazaji inakua kwa kasi duniani

    Kuna nini
Back
Top Bottom