Recent content by Good Vision

  1. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Amebadilika nataka niachane naye niishi maisha yangu

    Hawa baadhi ya wanawake ni mikosi tu hawafikirii amani ya ndani kuwa ni mafanikio, wamejaa tamaa, ujeuri, fujo na drama za kijinga sana. Nimetoka kupiga chini mmoja tunalea mtoto ninemwachia kila kitu, kajidai kuniblock nikasema ngoja ampige chura teke!
  2. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

    Kwanza mwanamke hayuko romantic.
  3. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana

    Mtakuja kufa, ishara zote hizo hujaona kama kuna hatari. Kuwa makini huwa hawalembi hao!
  4. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Wanawake wengi wamejikuta matatani wakidhani kuachika ni fasion na sifa kwao,majuto huja kitambo kidogo tuu.
  5. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Hujaelewa maana ya andiko, ningeandika uzi kwamba jamaa kauwawa kikatili sababu ya mkewe usinge comment hivi, mtuonee huruma aisee!
  6. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Njoo unipige niko hapa Arusha unga limited.
  7. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Naomba hii iwe hoja yangu ya mwisho kukujibu. [emoji120]
  8. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Haya umeshinda hoja, ahsante sana!
  9. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Haisaidii kama na ww ni mhanga pole!
  10. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Samahani sana nakuheshimu mnoo! Sihitaji tugombane hapa dada.
  11. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Halafu hawa mademu wanao achika hata hawatishi kwa uzuri yaani ni ujeuri tu.
  12. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    AMINAAAA
  13. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    Utajuwa mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Good Vision

    JamiiForums Tanzania Single mother mwingine kaongezeka huku mtaani

    [emoji23][emoji23]sawa
Back
Top Bottom