Recent content by gonzare

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

    nafungua nyingine chap na nitakujulisha.mbona ize🤣🤣
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi kula nyumbani

    kiukweli usiku nikikuta mke amepika mtori,au makande nakunywa maji tu
  3. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nepal yaomboleza baada ya ajali mbaya ya Ndege kuua watu 66

    ok shekhe wangu👍
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

    kivipi?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Chakula kikubwa cha vijana kwasasa ni Maandazi au Halfcake na Energy

    naona chawa mumetumwa na huku muje mueleze mema yamama🤣🤣🤣msijihangaishe mambo yanaonekana Kama nimagumu au malaini.fanyeni kazi uchawa hauhitajiki serikalini.
  6. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nepal yaomboleza baada ya ajali mbaya ya Ndege kuua watu 66

    innah lilahi wainnah ilayhi rajiuun
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

    sawa mrembo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kifungoni a.k.a ban, sikujua kabisa

    ukipigwa ban unafungua I'd nyingine simpo tuu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

    pita hivi👈maneno mengi sitaki
  10. G

    JamiiForums Tanzania Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

    hivi kwanza unaakili timamu kabla sijajisumbua kujibu?
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

    🤣🤣🤣pole Sana
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

    watu wamebadili I'd tuu humu.eiza watongoze au watongozwe🤣🤣🤣🤣suinajua tena..
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

    acha ujuaji wee mjinga hutaolewa.unazira nini Sasa?☹️
  14. G

    JamiiForums Tanzania Simba hii vilio basi, Wababe wa Ulaya kutoka Moscow nusura walale na viatu

    kiombo🤣🤣🤣mara awe tishio mara mseng..tuuu
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

    ujuaji wako tuu ndio unakusumbua punguza ujuwaji utaolewa.ukiendelea hivyo utachezewa Hadi ukome na sisi wanaume tunajua kudili nawajuaji nikuwala na kulala mbele.sasa wewe nakakingereza kako jifanye matawi uone utazeekea geto🤣 mbona wenzako wanaolewa hadi wake wanne?wee una uspesho...
Back
Top Bottom