Recent content by GONGO BOY

  1. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania KERO KWA IDARA YA UHAMIAJI

    Hata kam ifikie mahala wapunguze
  2. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania KERO KWA IDARA YA UHAMIAJI

    Hapo mwanzo tuliambiwa kwamba saizi hakuna ukabila wala udini wala rangi, lakni wahenga hawakukosea kisema kua uyaone inshort ni kwamba idara ya uhamiaji kumejaa ukabila uliokithiri hasa pale unapokuwa unahitaji NIDA yaan ukifika pale hata mkiwa wawili mmoja akajitambulisha kwamba yeye ni mfipa...
  3. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Na atawabemenda sana
  4. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Sisi wa mikoani wali tunakula wapi🤔🤔
  5. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Samia Suluhu Hassan, Tushamfukia tayari.. Amekufa mapema

    Hapa sas ntaanza kuamini kam mung yupo😀😁😁😁
  6. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Ao toka kipind natumia T-502 enzi hizo naingia hum kwa kutumia operamin nilikua nawaona vyeny wanashabikia uchawa
  7. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Mwingne huyu
  8. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Tatizo hao wote ni UVCCM kwahyo hawawez uliza kitu wakat wanakijua
  9. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

    Ety wa kishua😁😁😁life hili ndo life
  10. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

    Wanaliwa na mwakak jan askar walimuua mmoja then nyama yake ikagawiwa kwa wananch
  11. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

    Lakn hapo kuna shida gani mm nimetoa kero then ili kuwaonesha kuwa kwel tembo wapo nikaamua kuweka na picha then unasema "picha bila maelezo ni kupotupotezea vifurushi" sas wew ulikua unatak maelezo gan mkuu
  12. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

    Sio jela kam fursa inaharibu fursa sis tufanyeje
  13. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

    Shida sio meno shida ni kwamb ntayauzia wapi na nitakwepa vp mkono wa matapel haw UVCCM walio ndani ya sare ya jeshi la polisi
Back
Top Bottom