Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa matumizi yako ya Umeme hayazidi unit 75 Kwa mwezi Kwa miezi mitatu iliyopita,hivyo baada ya hapo unaandika barua Tanesco husika iliyopo Katibu nawe ukiomba kuhamishwa kutoka tarif 1 kwenda tarifu 0. Baada ya hapo utapewa jibu Kama umekubaliwa then utapewa...
Kati ya mm na wewe Nani anayetokwa povu. Unasema niprove unataka niprove mini,jieleze ueleweke. Je huoni Kama mleta mada ndo anayetakiwa kuprove? Tafakari kabla ya kupanic MZEE. Hili ni jukwaa LA hoja sio kelele
Fisadi amewafisad nn?? Msiwe mnaongea bila ushahidi. Goa ushahidi watu wakusuport lakini sio Mara jinamizi Mara fisad hiyo yote ni mipasho ya kike,. We Kama unajiamini unaikweli WA unayoyaongea toa uthibitisho
Lowasa alishakatwa uchawi wapi na lini na Nani?? Ili tujiaminishe kukupa wewe??na kwalipi kubwa uliloitendea Tanzania,maamuzi magumu kwenye familia yako labda uongee na mkeo akupe nchi yake na sio nchi ya Tanzania.
Jamani tuwe tunatafakari kabla ya kuandika,eti mseminari. Kwani Kama ni mseminari ndo aaminike?? Waseminari wangapi wanafanya ----- mtaani kwenu? Membe ni MTU mnafiki anauejifanya mnyenyekevu ili watu wamwamini wampe nchi,hapana kwakweli. Tusidanganyike na useminary wake. Niwaombe watanzania...
Wakuu tusiongee vitu tusivyokuwa na uhakika navyo,wale wanaosema Lowasa ni mwizi waje na ushahidi. MF. Tar. Flani mwaka flani aliiba sh. Flani sehem flani,hata Kama ni hizo 10% unatakiwa kusema alichukua 10% kutoka Kwa mtu flani au mradi flani,sio tu Kwa sababu zako binafsi bas unaamua kumchafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.