Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kuwa matumizi yako ya Umeme hayazidi unit 75 Kwa mwezi Kwa miezi mitatu iliyopita,hivyo baada ya hapo unaandika barua Tanesco husika iliyopo Katibu nawe ukiomba kuhamishwa kutoka tarif 1 kwenda tarifu 0. Baada ya hapo utapewa jibu Kama umekubaliwa then utapewa Namba za kuingiza kwenye luku yako ili kubadilisha mfumo. Then,jtaanza kufaid Umeme Kwa gharama mdogo na nafuu Sana. Maana 5000/= unapata unit 50. So 8500/= unapata unit 75 na service charge hapo hapo. Shart usizidishe unit 75. Ukizidisha unaoatabfain ya kununua unit Kwa gharama ya juu kidogo. So you need to be very keen in controlling the use of electricity.