Nikiwa katika eneo la soko kyela mjini,nawaona vijana wa bodaboda watano wakibishania masuala ya siasa hususani kuhusu vyama.wanne kati yao walionekana kukiunga mkono chama cha chadema kuwa ndicho kinachofaa kuongoza nchi na kuwatoa katika umasikini,na mmoja alibaki alionekana kusimama kidete...
Haya ndio yaliyokuwa maneno ya Slaa,baada ya kuombwa kutoa ufafanuzi na kijana wa CHADEMA kuhusu swala la Zitto:
"CHADEMA katka nidhamu haijaogopa,vinginevyo hatutakuwa tofauti na CCM.CHADEMA tunajiamin,Tukisimamia kitu tunajiamini tutakisimamia.Kama tusiposimamia maadili ndani ya chama hatuna...
uwezi kuamini maelfu wa watu walivyojaa katika uwanja wa siasa wilaya ya kyela licha ya mvua kubwa na upepo mkali wa ziwa nyasa.watu wamegoma kusogeza hata nukta ya unyayo mpaka wamsikilize Dr. slaa
inashangaza pale mwenye nyumba anapoanza kumuogopa mbwa wake aliyekosa nidham,na aliyemtumia kuharasi majirani.you reap what you sow.just wait and see the power of corruption.
hakuna jambo baya na linalouma sana kama kumuona kijana msomi mtanzania,anayeamua kutetea uovu wenye kuaribu utu na maadili ya jamii,kwa upenzi wa chama kilichopo madarakani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.