Recent content by Gomic

  1. Gomic

    Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0

    [emoji1320][emoji1320]
  2. Gomic

    Wapiga picha wa Ikulu kuweni makini na kazi zenu

    Huyu sio mpiga picha. Atakuwa ni mjumbe wa kikao katumia Tecno yake kwa kumbukumbu zake binafsi.Lakini kwa bahati mbaya picha lime lick na kukufikia wewe ndugu mtazamaji makini.
  3. Gomic

    Baada ya Fastjet kusitisha kutua katika uwanja wa ndege wa Songwe, kumekuwa na tatizo kubwa la usafiri wa anga jijini Mbeya

    Leo nimepata wasaa wa kusafiri na ATCL kutokea Mbeya na nikaonana na senior staff mmoja Songwe na kumuuliza tatizo ni nini ndege kubwa zisije Mbeya?.Majibu ni kwamba barabara ya uwanja wa Mbeya imechimbika na hivyo ndege kubwa kushindwa kutua.AaNilipouliza mbona fj alikuwa anatua..anasema naye...
  4. Gomic

    Baada ya Fastjet kusitisha kutua katika uwanja wa ndege wa Songwe, kumekuwa na tatizo kubwa la usafiri wa anga jijini Mbeya

    Jamaa walikuwa wanajua biashara sana...Lakini Labda hiyo naulj ndiyo iliyomfanya fj ashindwe ku operate tz. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Gomic

    Baada ya Fastjet kusitisha kutua katika uwanja wa ndege wa Songwe, kumekuwa na tatizo kubwa la usafiri wa anga jijini Mbeya

    Baada ya ndege za Fast jet kusitisha biashara ya kutua na kuruka katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mbeya, kumekuwa na tatizo kubwa la usafiri wa anga. ATCL wamekuwa wakifanya kazi kwa ndege moja ambayo asilimia kubwa wa wasafiri wanakosa fursa ya kutumia usafiri huu na hivyo kuona wakipata...
  6. Gomic

    Aibu: Yanga inabebwa Taifa

    Halafu kakonda sana msimu huu...kimebaki kichwa tu..[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
  7. Gomic

    Aibu: Yanga inabebwa Taifa

    [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
  8. Gomic

    VPL tarehe 19/11/2017 Yanga yaichabanga Mbeya City magoli 5-0

    Full time 5:0....Yanga : MBEYA CITY
  9. Gomic

    Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Huku Mbeya no umeme.Nikiwa huku nilizoea kuoga maji ya moto baada ya kupasha kwa heater lakini leo nitajijua....
  10. Gomic

    Faida ya kula tunda la nyanya katika mwili wa binadamu

    ChidyboyMe: FAIDA ZA KULA NYANYA
  11. Gomic

    Yanga vs Njombe Mji

    Ndanda FC 1 : Mbeya City 0
  12. Gomic

    Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

    Hongera sana Raisi wangu Magufuli..piga kazi baba..tujenge Tanzania yetu.
  13. Gomic

    Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

    Ndege zipi unapanda wewe?
  14. Gomic

    Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  15. Gomic

    Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

    Hawajarudisha tu...?
Back
Top Bottom