Faida ya kula tunda la nyanya katika mwili wa binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida ya kula tunda la nyanya katika mwili wa binadamu

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Apr 21, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  MAHITAJI:
  Nyanya inaupatia mwili wetu faida zifuatazo.• Vitamin C, A na K
  • Pottasium
  • Manganese
  • Ufumwele
  • Cromium
  • Vitamini B1 na B6
  • Chuma
  • Kopa
  • Vitamin B2 na B3
  • Magnesium
  • Folate, Phosphorous
  • Protini ingawa kwa kiasi kidogo.
  • Tryptohan, Folate na Molybdenum.


  Wengi wetu tunafikiri nyanya hazina umuhimu sana kwa mwili, lakini labda kwa kujua yanayopatikana ndani yake, tukabadilika mawazo yetu.Nyanya si kiungo cha chakula tu kinachotoa ladha nzuri kwenye mchuzi, na kachumbari lakini pia zina faida kubwa kwa mwili.Kweli inabidi kwa kujua hivyo, tusiidharua nyanya tena!
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  dah.,.... zinanikumbusha rais wangu jakaya............ huku nyumba inaungua, yeye anakagua bustani za nyanya brasil

  "speed in a wrong direction is irrelevant"
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,110
  Likes Received: 32,700
  Trophy Points: 280
  ...Nilisoma mahala kwamba ulaji wa nyanya unapunguza kwa kiwango kikubwa sana uwezekano wa kupata prostate cancer....kuleni kwa raha zenu.
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nitakuwa naweka kwenye kila mlo, kachumbari.
   
 5. JS

  JS JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Zitanikoma nyanya....ni kachumbari kila siku. lakini vipi ukipikia si lazima hivo vurutubisho vinapotea kwa kiasi fulani?
   
 6. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nilkua silijui hili,
  Asante mkuu!
   
Loading...