Recent content by gomer

  1. G

    Mwenye uzoefu na hivi ving'amuzi vipya vya antenna ya azam

    ... transmission frequency kwa manual entry na kutest reception strength kwa eneo husika. kwa remoti una press i ama ok kwa kisimbusi azam dtt. ...
  2. G

    Mwenye uzoefu na hivi ving'amuzi vipya vya antenna ya azam

    ... mkuu frequency kwa Dar zipi?
  3. G

    Naombeni email ya kutuma maombi Rufiji Power Plant

    ... Gonga hizo tarakimu na fuata maelekezo .. Wasalaam ...
  4. G

    LapTop inakula sana mb nifanyeje?

    ... Kuna habari kwamba vijana wa Bill wameyakoroga. Mie nililambwa giga 4 kwa ttcl, nikafikilia nimekuwa Hotspot, nikaongeza bundle jingine la buku la 4g ili niwabaini machizi wangu, nazo zikaenda. Win 10 niliyo nayo haina settings za updates ... Natumia Ubuntu kwa internet, haina upuuzi wa...
  5. G

    Naombeni email ya kutuma maombi Rufiji Power Plant

    ... Rufijihpp@jvacee.com +255734077574 Kila laheri ...
  6. G

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    ... Umesomeka mkuu ...
  7. G

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    ... Ni sawa anaweza kuwa fundi mzoefu, ila msomaji mwigine atapenda kufahamu kinachoendelea badala ya majibu ya mkato .. Ulifanikiwa kufunga C mbili ! Ipi ilikaa kando? .. ...
  8. G

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    ... Anza kwa kuweka alama kwa dishi unapopata azerspace1 na intelsat22 wakati lnb iko kati. Gawanya hizo alama na ufunge dishi hapo. Anza kubahatisha kwa umbali wa vipenyo viwili vya lnb kuzunguka inapotakiwa ifungwe lnb .. ...
  9. G

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    ... Kuna vitu vya kuangalia kabla ya swali kupata jibu linaloelekea. Vitu kama aina na ukubwa wa dishi. Kwa kuangalia nyuzi za sat zilizotolewa ni dishi la c-band lina husika zaidi hasa kwa nyuzi 72.1e, ila tofauti ya nyuzi 26, itabidi lnb zote ziwe kwa pembeni .. ...
  10. G

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    ... Kariakoo mbele ya DDC mtaa onaotokea kona ya RedStar FC .. ...
  11. G

    Naweza kuunganisha king'amuzi kimoja TV tofauti?

    ... Jibu bora hadi sasa Ongeza kapicha walau kwa hizo njia za mwisho ... Wadau picha zinaongea zaidi ya maandishi ... ...
  12. G

    African Satellite World and Sat Gear

    ... The fights of titans ...I was thinking of combining those lnbs ... On my 90cm dish ...I have squeeze in 3 lnbs. I like the dishes but not the setup ... ...
  13. G

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    ... Yap! Kwa lnb ndogo kaeneo hakohako! ...
  14. G

    Mtaalamu wa madishi anisaidie hapa

    ... Hiyo ni package ya Continental unalipia tsh 12,000/= kwa mwezi. Ukilipia miezi tano unapewa king'amuzi combo pamoja. Masharti na vigezo vyahusika. ...
  15. G

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    ... FTA zipo kwa C-band na Free za continental ku-band. ...
Back
Top Bottom