Recent content by gomba

  1. G

    JamiiForums Tanzania M/kiti mtaa wa Sinza" e" rushwa zitakuponza

    mkuu pusha kuna wajinga wamewachagua! kata zote za Sinza zimeenda kwa Magamba.
  2. G

    JamiiForums Tanzania M/kiti mtaa wa Sinza" e" rushwa zitakuponza

    hawa wajinga wanakadilia bei ya takataka! ukiingia kichwa kichwa inakula kwako.
  3. G

    JamiiForums Tanzania M/kiti mtaa wa Sinza" e" rushwa zitakuponza

    wewe mburula unakaa wapi? au baba yako ndio mwenyekiti wa mtaa??
  4. G

    JamiiForums Tanzania M/kiti mtaa wa Sinza" e" rushwa zitakuponza

    Hawa Boda Boda wamekuwa kero.Mwenyekiti wa mtaa na watendaji wake ni sehemu ya tatizo.Wana sinza tumefanya makosa kuwachagua CCM!
  5. G

    JamiiForums Tanzania M/kiti mtaa wa Sinza" e" rushwa zitakuponza

    Mwenyekiti wa Mtaa SINZA "E" na watendaji wako{CCM} Mnafanya kazi kwa ubabaishaji.Mnachukua rushwa kwa Boda boda na kuwaruhusu kuziegesha kwenye mageti na nyumba za watu. Boda boda hawa mmewapa JEURI na KIBURI Wanakataa kuondoka kwenye maeneo ya watu,wana lugha chafu.Boda boda hawa wanatumika...
  6. G

    JamiiForums Tanzania CUF: Ndugai awaombe radhi wapinzani

    CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai aiombe radhi Kambi ya Upinzani kwa kitendo cha kumtoa ndani ya Bunge kiongozi wa kambi hiyo bungeni, Freeman Mbowe. Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Julius Mtatiro alisema kitendo...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa JK wamwaga askari mvua mjini Mtwara, fukuto la sakata la Gesi.

    Pinda Mgongo aliwadanganya wana wamtwara....!!! Alitangazia umma mgogoro umeisha...!!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa JK wamwaga askari mvua mjini Mtwara, fukuto la sakata la Gesi.

    Wakwere wenyewe wanauza Korosho,mahindi ya kuchoma,mayai ya kuchemsha na soft drinks kwenye stendi kuu ya Mabasi(Mizani) Chalinze. JK anajisumbua kuwabeba! Hawabebeki hata atumie mbereko ya chuma. Riz1 bora angepigwa risasi china kuliko kutuletea machafuko nchini.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa bomu la Olasiti afikishwa mahakamani

    Police-CCM wametoa Filamu ya pili! ya Ulimboka haikufika mwisho iliishia katikati!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka Olasiti - Arusha: Mazishi ya Marehemu wahanga wa Mlipuko na yaliyojiri

    we mburula uwe unatofautisha ukweli na uchochezi! Lema aliongea ukweli kabisa.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka Olasiti - Arusha: Mazishi ya Marehemu wahanga wa Mlipuko na yaliyojiri

    Serikali dhaifu chini ya Mr dhaifu inawaogopa wachochezi sheikh ilunga na sheikh ponda!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kinana aibiwa nyumbani kwake

    Muosha Huoshwa! Fedha chafu hizo za biashara ya pembe za ndovu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Lazima sheikh Ilunga Akamatwe kwanza vinginevyo hali tete

    Mbayu mbayu hana ubavu huo kumtia ndani sheikh ilunga
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mjue RUGE na wasanii wa TANZANIA

    Ruge ni dhulumati! Kupe! Fisadi wa muziki tanzania!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tukio la Arusha: Rais Kikwete akatiza safari ya Kuwait

    Hivi mbayumbayu alifuata nini huko kuwait?? Yeye ndio muasisi wa udini kama lema alivyosema bungeni.
Back
Top Bottom