Asante kwa ushauri wako, chief ila bongo kupata iyo series ni kazi sana, HDR ni future nzuri kama iyo TV ingepatikana, and also my burget is fixed not above 500k, bora nichukue tu hyo kuliko hawa kina aborder, ouling, boss n. K,,,, but i think apart from HDR naona features kama ultra clean view...