Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu
Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
Chief samahani, nauliza leseni yako ya kuuza mapochi umekata kama kuuza mabegi au kuuza urembo? Maana nataka kukata leseni ya mapochi lakini sielewi nichague kipengele gan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.