Recent content by Golden negro

  1. Golden negro

    Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

    Wakuu nimefika kwenye msitu huo kipindi nasoma njombe secondary (njoss) nimeshuhudia mwenyew anachoongea ni sahihi kabisa
  2. Golden negro

    Una jambo lolote uliwahi kudanganywa na Mwalimu wako?

    Mwalimu wangu wa sayansi "dalili za ualbino ni kupepesa macho" kwahiyo ukiona mtu anapepesa sana macho ujue anaanza kuwa albino daah MUNGU ANAMUONA POPOTE ALIPO
  3. Golden negro

    GE2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

    Huyo tulia tunapiga hela zake kura hapati mbeya hatuezi ongozwa na mtu mwenye shobo kazi kumshobokea mo an watu tunamsapoti kula hela zake ila kula atapigiwa na familia yake
  4. Golden negro

    "Umetoa wapi namba yangu?" Uliwezaje kulijibu au kuliepuka hili swali?

    Namuambia tu amenipa mtu fulani(unataja jina lolote tena unaweza ukatuma hata na picha ya mtu ambae unajua yeye hawafahamiani) hapo simple tuu
  5. Golden negro

    Ni mke wa mtu ila dah!

    Mwana kulitafuta mwana kulipata jichanganye tu kwa wake za watu uone watachokufanya
Back
Top Bottom